Marekani inatengeneza Magaidi

Marekani inatengeneza Magaidi

mtu mweupe akatizi kwa sababu ya Usalama wake na sio kwasababu anabaguliwa ila kuna mitaa ya wazungu ambapo mtu mweusi hata awe tajiri vipi hawezi kukaa na kama akikaa basi hachukui tym ataamishwa. wazungu wana ubaguzi sana
Ila inatokea sana kwa wazungu kuolewa au kuoa weusi.ila bado huwezibkunilazmisha kwamba wazungu wamefikia kiwango cha ubaguzi kuliko wahindi na waarabu!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
wewe Sele Mkonje
Nani aliyekuambia kuwa hali sio shwari katika miji ya USA??
nitajie hiyo miji ambayo hali yake sio shwari kwa usalama!!!
mimi juzi nilikuwa TEXAS now nipo NY CITY kesho narudi bongo kwa taarifa yako miji yote ipo shwari,utulivu na amani hakuna uwoga wowote na usalama upo wa kutosha tu,sasa sijui wewe hiyo habari umeipata wapi??
marekani sio kama iran,syria au iraq uku hali ni shwari kuliko TZ.
Ubaguzi upo ila kwa asilimia chache sanaaaaa sio ubaguzi wa nje nje kama italy,spain au uarabuni na india.
nikwambie kitu hivi uko bara la asia umewahi kumuona black akithaminiwa na hao arabs\indian?? au umewahi kuona black yupo juu kisanaa anathaminiwa??
Huku USA wapo blacks wengi wanashobokewa/thaminiwa na white peopl.USA kuna HAKI SAWA sheria inafata mkondo wake sio kama uko uarabuni na india.
kuna nchi ya kiarabu imewahi kuwa na rais mweusi?
ni vile hamjui ktk nchi yoyote duniani yenye watu weusi, USA ndio nchi yenye watu weusi wana nguvu na wanaheshimika ktk jamii
 
USA kubwa bro maandamano against the use of excessive force imetokea tena this weekend in cities such as Baltimore, Atlanta and Philadelphia. Maelfu ya waandamanaji wamemarch na kublock traffic on highways to their self proclaimed new civil rights movement. Ni kweli America kuna amani bt na ni salama kuliko hata Nchi hii ninayoishi sasa. I'v been there bro i know that country mambo mengi yanaweza kutokea upande moja wa nchi na pande nyingine wasijue wats going on. Nafatilia kwa karibu sana cz My Gf still stays there in Washington DC
 
Back
Top Bottom