Makasiriko ya nini? Ukweli umesemwa. Marekani ni vampireNyuzi zako za kuisakama USA zinakusaidia nini sasa?Au umekosa kibali cha kwenda kuishi huko?[emoji23]
Hivi wewe una ubongo au matope? Una akili mbovu kuliko NyaniNyuzi zako za kuisakama USA zinakusaidia nini sasa?Au umekosa kibali cha kwenda kuishi huko?😂
Your wishes [emoji28]Kinachonifurahisha baada ya marekani kutoa hilo tamko la kupeleka hayo mabomu, Russia imekaa kimya. Nina uhakika hilo jambo la Russia kutojibu chochote limemchanganya sana marekani
Limchanganye kwa lipi wakati Russia ndio alianza kutumia hayo mabomu hapo Ukraine.Kinachonifurahisha baada ya marekani kutoa hilo tamko la kupeleka hayo mabomu, Russia imekaa kimya. Nina uhakika hilo jambo la Russia kutojibu chochote limemchanganya sana marekani
Hakuna ushaidi unaoonyeha Russia aitumia mabomu hayo hapo UkraineLimchanganye kwa lipi wakati Russia ndio alianza kutumia hayo mabomu hapo Ukraine.
Upo Dunia gani?Hakuna ushaidi unaoonyeha Russia aitumia mabomu hayo hapo Ukraine
Weka hapa huo ushaidi kama kweli upo. Acha longolongoUpo Dunia gani?
Kwamba hujaona ujumbe uliopo kwenye hii habari au vipi?Nyuzi zako za kuisakama USA zinakusaidia nini sasa?Au umekosa kibali cha kwenda kuishi huko?😂
Russia huyu aliyempigia magoti Prigozhin kiongozi wa genge la wahuni ambao walikuwa tayari kuigaragaza Moscow baada kuteka kituo kikuu cha jeshi Rostove Russia Belarus akamuokoa Putin ambaye alishajificha chumba chini ya Ardhi?Kinachonifurahisha baada ya marekani kutoa hilo tamko la kupeleka hayo mabomu, Russia imekaa kimya. Nina uhakika hilo jambo la Russia kutojibu chochote limemchanganya sana marekani
Acha shobo US anataka kumaliza vita kwa cluster bombs ili vamizi arudi kwao alikotokaView attachment 2684450
Hivi karibuni, serikali ya Marekani ilitangaza kuipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 800, ikiwa ni pamoja na mabomu aina ya cluster ambayo yamepigwa marufuku na sheria za Marekani yenyewe. Cha kuchekesha ni kuwa, mwishoni mwa Februari mwaka jana, siku tano baada ya mgogoro kati ya Russia na Ukraine kuibuka, aliyekuwa msemaji wa ikulu ya Marekani Jennifer Psaki alisema kwenye mkutano na waandishi wa habari kwa msimamo mkali kwamba ikiwa mabomu ya cluster yatatokea kwenye uwanja wa vita wa Russia na Ukraine, itakuwa "uhalifu wa kivita." Lakini sasa baada ya mwaka mmoja, rais Biden alisema kwamba Ukraine inahitaji mabomu hayo.
Mabomu ya cluster ni yale yaliyotengenezwa kwa kufunga mabomu madogo madogo kumi au mia kwa pamoja. Baada ya kurushwa, mabomu madogo yatatolewa angani na kulipuliwa yanapogusa ardhini. Lakini mabomu ya cluster yanaweza pia kushindwa kulipuka na kusababisha tishio la muda mrefu kwa raia waishio karibu na eneo lililogawanyika.
Ni kwa sababu hii kwamba mabomu ya cluster yana madhara sana, ndio maana zaidi ya nchi 120 duniani zimetia saini "Mkataba wa Mabomu ya Cluster" na kupinga matumizi ya mabomu hayo. Ingawa Marekani haijatia saini Mkataba huo, sheria zake bado zinakataza uzalishaji, matumizi au uhamisho wa mabomu ya Cluster ambayo kiwango cha kushindwa kulipulika ni juu ya asilimia moja. Kwa mujibu wa Gazeti la Washington Post kiwango hicho cha mabomu ya cluster yanayotolewa na Marekani kwa Ukraine kilikuwa karibu 6%.
Wachambuzi wanaona kuwa kwa sasa misaada ya silaha za kawaida ya NATO kwa Ukraine inakaribia kwisha, na Marekani kutoa silaha hizo sio tu kunaweza kutatua tatizo la uhaba wa silaha nchini Ukraine, bali pia kuongeza muda wa vita kati ya Russia na Ukraine na kuzuia mchakato wa mazungumzo ya amani.
Kihistoria Marekani ilitumia mabomu ya cluster mara nyingi, kuifanya dunia ione nguvu kubwa ya uharibifu wa mabomu hayo, na pia kusababisha malalamiko na ukosoaji mkubwa dunia. Hadi leo, nchi kama vile Vietnam, Laos, na Iraq bado zimetapakaa mabomu ya cluster yaliyodondoshwa na Marekani ambayo hayakulipuka, na kwamba mamia ya raia wanauawa au kulemazwa na mabaki hayo ya uwanja wa vita kila mwaka; sasa Ukraine inaelekea kufuata mifano ya nchi hizi.
Wakati China na nchi za Afrika zinapotoa mipango ya amani ya kupunguza mvutano kati ya Russia na Ukraine ambayo inakaribishwa na Umoja wa Mataifa, Marekani, ambayo imejaa msimamo wa mapigano ndani na nje yake, haikusita kujihusisha na mgogoro kati ya Russia na Ukraine kwa njia ambayo hata ya kuumiza raia, kuipa kisogo amani na ubinadamu.
Kama alivyosema Norman Solomon, mwandishi maarufu wa habari na mwanaharakati wa kijamii wa Marekani, katika kitabu chake kipya "Vita Visivyoonekana" kuwa historia za vita za Marekani barani Asia, Mashariki ya Kati, Afrika, na Amerika ya Kusini zinadhihirisha ukuu wa wazungu, na pia kupuuza thamani ya maisha ya watu wanaoishi kwenye nchi zinazoshambuliwa na Marekani kwa risasi, mabomu na makombora. Marekani imekuwa tishio kubwa la usalama wa dunia.
Vita itaisha kwa cluster bombs, vamizi atarudi kwao tu maana ndio hakuna namnaMakasiriko ya nini? Ukweli umesemwa. Marekani ni vampire
Alishatumia akachemka, nyiny pro putin munajitoa fahamu sanaHakuna ushaidi unaoonyeha Russia aitumia mabomu hayo hapo Ukraine
Badala yake nchi za nato ndo zinapiga kelele kupinga upelekwaji wa mabomu hayo,Kinachonifurahisha baada ya marekani kutoa hilo tamko la kupeleka hayo mabomu, Russia imekaa kimya. Nina uhakika hilo jambo la Russia kutojibu chochote limemchanganya sana marekani
Hv aliyepo ndan ya ukraine dhidi ya serikal ya ukraine na anaesaidia Ukraine kupata uhuru wake wa kiutawala nan mbaya hapo?View attachment 2684450