Inambidi abadili mbinu za kupambana na ugaidi.
Mimi ninachojua marekani ni gaidi namba 1 na EU namba 2. Hii ni kwa maana halisi ya ugaidi. Ndo maana hata siku moja hajawahi kumfikisha kiongozi wa nchi yoyote the hague. Kwa sababu operation zake ni za kigaidi.
Alafu jamani, ugaidi siyo uislam. Hii ni brainwash ya marekani anapotaka kuudanganya ulimwengu. Ugaidi unafanywa na nchi au kikundi chochote cha dini, kabila au mkusanyiko wa watu fulani. Amerika inaprove failure kutokana na yeye kulikologa. Ameufanya ugaidi kama ni mambo ya kidini.
Usilam ni haki na ndiyo maana marekani hashindi kwa sababu kasimama kwenye batili
Hapa sijakuelewa kabisa!Fikiria magaidi ya Boko haram!wale watoto waliowateka wana maamuzi gani juu ya kile wanachohukumiwa nacho na uhusiano wake na batili aliyosimamia Marekani?Usilam ni haki na ndiyo maana marekani hashindi kwa sababu kasimama kwenye batili
Mkuu mbona mtoa mada hajataja neno uislamu? Kataja marekani na ugaidi. Unataka kusema Ugaidi=uislamu? Mi siamini hivyo sababu Joseph kony si muislamu na anafanya vitendo vya kigaidi!Usilam ni haki na ndiyo maana marekani hashindi kwa sababu kasimama kwenye batili
Ni juu ya vita yake dhidi ya ugaidi maana kila kukicha naona makundi hayo yanazidi kuimarika kila Mahali mmarekani anapogusa amani unatoweka kabisa angalia Libya, Syiria, Iraq, Ukraine, Somalia na kwengineko.
Usilam ni haki na ndiyo maana marekani hashindi kwa sababu kasimama kwenye batili
Ni juu ya vita yake dhidi ya ugaidi maana kila kukicha naona makundi hayo yanazidi kuimarika kila Mahali mmarekani anapogusa amani unatoweka kabisa angalia Libya, Syiria, Iraq, Ukraine, Somalia na kwengineko.
Ni juu ya vita yake dhidi ya ugaidi maana kila kukicha naona makundi hayo yanazidi kuimarika kila Mahali mmarekani anapogusa amani unatoweka kabisa angalia Libya, Syiria, Iraq, Ukraine, Somalia na kwengineko.
Sidhani kama anashindwa ila naanza kuamini ni kitu anachokitengeneza yeye mwenye kwa faida anayoijua. Ni wazi kuwa Osama alijengwa na Marekani, Iraq hapajawahi tokea ugaidi kabla ya uvamizi wa Marekani, Afghanistan Ugaidi umeanza baada Us invasion, Libya ilikuwa nchi ya amani kabla Marekani hawajaivamia, Alkaida wa Syria wanasaidiwa na Us, Saudia, Israel, Uk etc. Tukumbuke hata Somali japo kulikuwa na vita hapakuwa na Ugaidi mpaka Us ilipoingilia wakati wa M. Farah Aideed. Fikiria magaidi kama Boko haram wanapata wapi silaha, na pesa? Zinapitia wapi? Mara nyingi Us imetoa tahadhari ya shambulio la ugaidi, huwa wanazipjta wapi taarifa hizo?
obama ni rais poa kabisa wamarekani wamewahi kupata ukiachia jimmy carter,Obama weak president .Muache kumsifia vitu vya ajabu .aamke afanye Kazi scandal zimemjaa Huyo .IRS scandal,VA scandal ,terrorist release ( ameachia 5 terrorist ) .tittle should be Obama can't lead .His popularity is 34 percent from75 percent .aache uvivu