Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 665
- 1,278
Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?Marekani na China ninchi za ovyo sana hapa Duniani.
Hahahahahahah TrumpMarekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19
Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran, kutokana na kile ilichosema kuwa Iran itatumia pesa hizo katika shughuli za kijeshi badala ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Akizungumzia suala hilo, rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kitendo hicho si haki wala haikubaliki, na ni kitendo cha ubaguzi dhidi ya Iran. Kwenye mkutano wa Baraza la Mawaziri uliofanyika jana, rais Rouhani alisema ikiwa nchi mwanachama wa IMF, Iran inalipa ada yake, na haijawahi kutoa ombi lolote kwa shirika hilo katika miaka 50 iliyopita.
Tarehe 4 mwezi uliopita, IMF ilisema itatoa mkopo wa dola bilioni 50 kwa nchi zenye uwezo mdogo zilizotoa maombi ya msaada, ili kuchangia juhudi za kukabiliana na virusi vya Corona. Benki Kuu ya Iran pia ilitoa ombi la mkopo wa dola bilioni 5 tarehe 12 Machi.
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]Marekani na China ninchi za ovyo sana hapa Duniani.
Kuwa na utu!Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ipi ya abiria unachanganya madesaIran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka anachangia ada lakini!Iran kama mwanamke tu ananuna huku kule anakuja kuomba msaada
Haimaanishi na support wanachofanya Wamarekani ila ndio hivyo tena kwa sasa wao ni kama maji tu, Usipoyaoga basi yumkini utayanawia
Mpaka hapo atakapo tokea mbabe mwingine wa Dunia tuanze kumpigia magoti, ndio maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za utopolo hasara Sana[emoji848]Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajawazidi US Kwaugaidi Maana Hatawao Walishawahi Kufanya Kama Hivyo Nawanaendelea Kufanya Ugaidi Kila Pembe YaduniaIran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kutungua ndege ya abiria, hata wao wametunguliwa ndege yao na Marekani, wote ni magaidi au sivyo ?Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran kama mwanamke tu ananuna huku kule anakuja kuomba msaada
Haimaanishi na support wanachofanya Wamarekani ila ndio hivyo tena kwa sasa wao ni kama maji tu, Usipoyaoga basi yumkini utayanawia
Mpaka hapo atakapo tokea mbabe mwingine wa Dunia tuanze kumpigia magoti, ndio maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran kama mwanamke tu ananuna huku kule anakuja kuomba msaada
Haimaanishi na support wanachofanya Wamarekani ila ndio hivyo tena kwa sasa wao ni kama maji tu, Usipoyaoga basi yumkini utayanawia
Mpaka hapo atakapo tokea mbabe mwingine wa Dunia tuanze kumpigia magoti, ndio maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hata USA na RUSSIA walishawahi kutungua ndege ya abiria au hukujua hilo?Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app