Marekani ikisambaratika UN itabaki?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,512
Reaction score
16,735
Upepo wa mabadiliko unaoikumba dunia sasa unavuma ndani ya Ulaya na Marekani.
Tujaalie upepo huu unaweza kuisambaratisha Marekani,taifa lenye nguvu duniani na yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa(UN).Kusambaratika huku kukawa kama ilivyotokea kwa Urusi (USSR) na inavyotokea kwa mataifa mengine hivi sasa.
Ikitokea hivyo hivi Umoja wa Mataifa utaendelea kuwepo,na jee ulimwengu bado unauhitaji umoja huo?.
 
Bila Umoja huo itatokea WWIII!
 
Bila Umoja huo itatokea WWIII!

Milifikiri kuwa mod unakuwa na busara na majibu ya kisomi, itanibidi nimuulize Invisible ni vigezo gani vinamfanya member kuwa mod? Isije kuwa kama Serikali ya Kikwete vyeo kwa ushikaji sio kwa Qualification
 
Hapa inaonekana kama umetoka nje ya mada.Kiusomi na busara ungechangia kwanza halafu ndio ukatia chumvi kama hizi.
Tujaalie wewe ndie mod.ungesemaje?
 
HAUJUI OFISI NDOGO ya UN - NEW YORK iko GENEVA USWISI???
Kama USA haitaki UN inahamia USWISI
 
HAUJUI OFISI NDOGO ya UN - NEW YORK iko GENEVA USWISI???
Kama USA haitaki UN inahamia USWISI
Ofisi ndogo itaweza kufanya kazi kamili za UN?.Na kama Uswisi nayo ikishindwa kutakuwa na umuhimu wowote wa kuhamishiwa pahala pengine au iwe ndio basi.Kwani kwa kutokuwepo UN dunia itakuwaje?.
 
aitobaki marekan ndio anatoa pesa nyingi kusaidia UN na Mashirika yake,bila marekani hakuna UN
 
Mimi ningependa isambaratike leo hi hi maana nimechoka kusikiaa kitu vita. vita zote zinazopiganwa dunia nzima mwanzilishi ni USA
 
Reactions: Ami
Ofisi ndogo itaweza kufanya kazi kamili za UN?.Na kama Uswisi nayo ikishindwa kutakuwa na umuhimu wowote wa kuhamishiwa pahala pengine au iwe ndio basi.Kwani kwa kutokuwepo UN dunia itakuwaje?.

Oh yeah NCHI zote zinawakilishwa na PIA mikutano MIKUBWA ya UN inafanyika USWIS saa nyingine badala ya NEW YORK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…