Marekani: CDC na FDA zashauri utoaji chanjo ya Johnson & Johnson kusimamishwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu.

Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) zimesema zinachunguza visa 6 vya ugandaji damu kwa watu baada ya kupokea Chanjo.

Wamesema wanashauri kusimamishwa kwa utoaji Chanjo hiyo kama tahadhari. Zaidi ya dozi Milioni 6.8 za Johnson & Johnson zimetolewa Marekani.

=====

US health authorities are calling for a pause in the use of the Johnson & Johnson Covid-19 vaccine, after reports of extremely rare blood clotting cases.

The Food and Drug Administration (FDA) said it was acting "out of an abundance of caution".

It said six cases of severe blood clotting had been detected in more than 6.8 million doses of the vaccine.

The recommendation follows similar rare cases in the AstraZeneca vaccine, which has prompted some curbs in its use.

In a series of tweets, the FDA said it and the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) were reviewing "six reported US cases of a rare & severe type of blood clot in individuals after receiving the vaccine. Right now, these adverse events appear to be extremely rare".

"We are recommending a pause in the use of this vaccine out of an abundance of caution," it said.

This was to "ensure that the health care provider community is aware of the potential for these adverse events".

A joint statement from the FDA and CDC clarified that the blood clotting was cerebral venous sinus thrombosis (CVST).

It said that this type of blood clot needed a different treatment than usual.

The common treatment - an anticoagulant drug called heparin - "may be dangerous", it said and an alternative was required.

All six cases were in women aged between 18 and 48, with symptoms six to 13 days after vaccination.

The New York Times quoted officials as saying one woman had died and a second, in Nebraska, was in a critical condition.

Johnson & Johnson statement

The joint statement said that "people who have received the J&J vaccine who develop severe headache, abdominal pain, leg pain, or shortness of breath within three weeks after vaccination should contact their health care provider".

Johnson & Johnson, a US health care company, issued a statement saying that safety was its "number one priority" and that it shared "all adverse event reports" with the health authorities.

It added: "We are aware that thromboembolic events including those with thrombocytopenia have been reported with Covid-19 vaccines. At present, no clear causal relationship has been established between these rare events and the Janssen (J&J) Covid-19 vaccine."

It said it would continue to work closely with the regulators.

AstraZeneca vaccinations

The Oxford-AstraZeneca vaccine, which has been given safely to tens of millions of people, has also seen some extremely rare blood clotting cases.

The reports led some nations to suspend its use but most have now resumed, although in a number of cases with a recommended minimum age, for example 60 and over in Germany.

In the UK, authorities advised that those under 30 should be offered an alternative.
 
Corona ni upigajitu, yani kila mmoja anaponda chanjo ya mwenzake iliauze zakwake.

Hawa wazungu watatupiga sana, fikiria walivyokuwa wanalazimisha lock down kila mahali.

Yani maanayake nyie mjifungie ndani mfekwanjaa at the same time wao wanapiga kazi viwandani kufyatua dozi za chanjo alafu mnatoa kiakibachenu hazina mnanunua chanjo huku mmejifungia ndani, wao wanaingiza kipato kupitia chanjo.
 
Kwani Johnson Johnson si kampuni yao au? Maana ile nyingine ya Astra nadhani ya wa U.K. kwanini WHO inapigia chepuo hizo tu wakati pia Mrusi anayo ya kwake.
 
Kwani Johnson Johnson si kampuni yao au? Maana ile nyingine ya Astra nadhani ya wa U.K. kwanini WHO inapigia chepuo hizo tu wakati pia Mrusi anayo ya kwake.
Hiyo jonson niya wingereza mkuu
 
Mambo ni moto USA
Screenshot_20210413-171039.jpg
 
Hahaha basi kimeumana, kwanini WHO hawaiungi mkonk ya mrusi
Maslahi mkuu, vitayakiuchumi haiangalii maisha ya watu nduguyangu.

Sasaivi uhai wa binadamu hauna samani mbele ya pesa, angalia syria, libya, yemen na sehem zingine watu wanauliwa makusudi kwa sababu ya maslahi ya watu wengine.
Kwaiyo hawa jamaa kutengeneza magonjwa iliwajinufaishe kiuchumi kwao sio tatizo.
 
Corona ni upigajitu, yani kila mmoja anaponda chanjo ya mwenzake iliauze zakwake.

Hawa wazungu watatupiga sana, fikiria walivyokuwa wanalazimisha lock down kila mahali.

Yani maanayake nyie mjifungie ndani mfekwanjaa at the same time wao wanapiga kazi viwandani kufyatua dozi za chanjo alafu mnatoa kiakibachenu hazina mnanunua chanjo huku mmejifungia ndani, wao wanaingiza kipato kupitia chanjo.
Hakika
 
Maslahi mkuu, vitayakiuchumi haiangalii maisha ya watu nduguyangu.

Sasaivi uhai wa binadamu hauna samani mbele ya pesa, angalia syria, libya, yemen na sehem zingine watu wanauliwa makusudi kwa sababu ya maslahi ya watu wengine.
Kwaiyo hawa jamaa kutengeneza magonjwa iliwajinufaishe kiuchumi kwao sio tatizo.
Watu weusi mnaongoza kujolizaliza kama mbwa koko.

Tengenezeni chanjo zenu na nyie mpate hela.

Kuna lundo la chanjo nchii hii mbona hamjawahi kuzikataa. Nyani wazee nyie
 
Mbowe Na wezeka Ndo kwanza wanashauri Serikali waharakishe mchakato wakuleta chanjo kisa wao wamepata nje ya Nchi.
 
Wote tutaendelea kufaidika na misimamo ya Magufuli ingawa wapo wanaoikosoa lakini wanaendelea kufaidika nayo.
 
Back
Top Bottom