khaaa! inamaana mie ndo sikustahili huu mwaaliko ama???
Watu wa R Chuga mtanunaje....
Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu....
Mzee Mtambuzi anamwaga stori zake za kufumaniwa na vituko vya uswahilini, yaani tunacheka hadi watu wanatushangaa.......
Wapi Madam B, gfsonwin, mwaJ, Swts, Nyamayao, Erickb52, Filipo, Mungi, Don Mangi, Arushaone, Asprin, Ruttashobolwa, Fidel80, amu, snowhite, kipaji halisi, watu8, Mamndenyi, MadameX, Lisa, nivea, King'asti... Hebu njooni pande hii tusongeshe......
Hapa tukimaliza tunaenda kusongesha kwa MJEDA pande za mwananyamala LEO TUPO HAPA PUB
Vin Diesel.....ndo naondoka hapa Serena nakuja kukujoin...si unajua tena wewe ndo Valentine wangu wa ukwee!!!
Leo tangu mchana nakutwangia simu zako zote hazipatikani, nikajiuliza uko wapi?khaaa! inamaana mie ndo sikustahili huu mwaaliko ama???