Marehemu Evance alipopatwa na hasira

Marehemu Evance alipopatwa na hasira

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
MIILI ya watoto wanne pamoja na baba yao wanatarajiwa kuzikwa leo.

Jana mwanamke aliyeweza kutoroka na kupelekea mume wake afanye mauaji hayo alirudi nyumbani hapo na kushuhudia miili ya watoto wate kwa pamoja ikiwa imefariki.

Awali mama huyo alidai kuwa mume wake huyo alikuwa akimkorofisha mara kwa mara kutokana na kumuhisi anatoka nje ya ndoa na alikuwa akimtishia vibaya na ndicho chanzo kilichomfanya akimbie kutokana na vitisho kutoka kwa mume wake huyo.

Hata hivyo ndugu wa marehemu alidai kuwa, marehemu Evance alipopatwa na hasira ya kukimbiwa na mkewe huyo aliwapatia wanawe hao maziwa aliyoyaweka sumu na alipoona hawafi haraka ndipo alipoamua nkuchukua shoka na kuwachaanga nay eye kujinyonga wka kutumia kamba ya katani aliyoitundika darini.
 
matukio haya nayo yameongezeka kwa miaka hii khah
 
Back
Top Bottom