Hahahaa........!!Jakaya kwa kujifanya anayajua ya familia HAJAMBO, kwenye msiba wa Ruge alituambia marehemu kaacha watoto wawili, kuja kusomwa historia watoto ni watano.. Mkwere bana hata akiwa na madaraka na elimu porojo haziachi...mdogo wake alienda na Regina wakati hali imeshakuwa mbaya sasa kuwepo kwake huko Kikwete anataka kutuambia nini labda?
Ndiyo maana nikasema tunamheshimuKikwete ni Rais mstaafu!
Kikwete ni Rais mstaafu!
Huyo katiba mpya aliyochezea imetungwa lini!
The medias did not see her ?That is what I heard.
Nakuuliza Tena katiba mpya imetungwa lini!Kipindi katiba mpya inachezewa ww ulikuwa jela.
Nakuuliza Tena katiba mpya imetungwa lini!
Ila sasa angekaa kule anasubiria nini mambo yenyewe ndio haya! Rumors chafu chafu kitaa!That is what I heard.
Sisi watanzania ni mazuzu sana, sasa unafikiri kama atakuwa ameuawa technically(kitaalam) kuna mwanafamilia atajua chanzo cha kifo eti kisa alikuwa na marehemu hospitalini??!