Ndio maana nchi inahitaji katiba mpya ili utupe taasisi bora na huru, Mh.Mrema mambo mengi aliyafanya bila kufuata sheria, sungusungu haikuwepo kisheria ndio maana SC Lamwai alimshinda mahakamani kuhusiana na case ya sungusungu, but binafsi alinivutia mno na almost middle class yangu tumeingize ikulu (Nyerere aliminya haki halafu eti wanafiki wanataka atangazwe mwenye heri!)