Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Nimeshamwita. Anakuja!ngoja nisubirie jibu

Eti mshana jr ni kweli hii habar?
kuna kitu, sio kawaida mshana jr
Kuna mengi kwenye kifo cha huyo nduguItakua alichukuliwa msukule ngoja mshana aje atuambie kwa urefu
Shukrani MkuuKuna mengi kwenye kifo cha huyo ndugu
1. Vision hallucination...kumuona mtu aliyekufa (huanza kama uzushi )kisha unapata support kubwa ya hadhira na automatically kutengeneza taswira ya marehemu na kuonekana ni kitu halisi
2. Dhana ya pili inaweza kupingana na dhana ya kwanza kwasababu ya ushanga mwekundu kiunoni...kwenye ishu za misukule au kufa kishirikina si kila wakati mambo huenda vizuri kuna wakati masharti hukosewa na kujikuta marehemu anasepa hivyo huko aliko chukuliwa anakuwa yupo nusu na duniani anakuwa yuko nusu ndio maana anaonekana na kupotea
3.ni maandalizi ya kugeuka mzimu
Ahsante sana.Kuna mengi kwenye kifo cha huyo ndugu

duh tunamkomboaje huko awe mtu tena?Kuna mengi kwenye kifo cha huyo ndugu
1. Vision hallucination...kumuona mtu aliyekufa (huanza kama uzushi )kisha unapata support kubwa ya hadhira na automatically kutengeneza taswira ya marehemu na kuonekana ni kitu halisi
2. Dhana ya pili inaweza kupingana na dhana ya kwanza kwasababu ya ushanga mwekundu kiunoni...kwenye ishu za misukule au kufa kishirikina si kila wakati mambo huenda vizuri kuna wakati masharti hukosewa na kujikuta marehemu anasepa hivyo huko aliko chukuliwa anakuwa yupo nusu na duniani anakuwa yuko nusu ndio maana anaonekana na kupotea
3.ni maandalizi ya kugeuka mzimu
majibu nimepataAhsante sana.
miss chagga njoo huku.
Ni afadhali afe moja kwa moja kwakuwa hata akikombolewa atakuwa sio yeye tena...duh tunamkomboaje huko awe mtu tena?
HHao watu wote hakuna hata mmoja aliyemuona marehemu..Wote wanaishia kusema kaonekana..hata katika biblia uchawi umezungumzwa
hiyo namba 3 mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna mengi kwenye kifo cha huyo ndugu
1. Vision hallucination...kumuona mtu aliyekufa (huanza kama uzushi )kisha unapata support kubwa ya hadhira na automatically kutengeneza taswira ya marehemu na kuonekana ni kitu halisi
2. Dhana ya pili inaweza kupingana na dhana ya kwanza kwasababu ya ushanga mwekundu kiunoni...kwenye ishu za misukule au kufa kishirikina si kila wakati mambo huenda vizuri kuna wakati masharti hukosewa na kujikuta marehemu anasepa hivyo huko aliko chukuliwa anakuwa yupo nusu na duniani anakuwa yuko nusu ndio maana anaonekana na kupotea
3.ni maandalizi ya kugeuka mzimu
jamaniNi afadhali afe moja kwa moja kwakuwa hata akikombolewa atakuwa sio yeye tena...
Aneshasomewa ibada ya mazishi kwa uhalisia akazikwa kwa uhalisia kwahiyo ni kwamba kuzimu ameshaiona kwa uhalisia..kumrudisha duniani ni kumtafutia mateso
Hakuna hata shuhuda mmoja aliyesema amemuona marehemu uso kwa uso...Wote wanaishia kusema kaonekana, kaonekana...
Hii haina tofauti na zsmani nilikuwa nasikia watu wakisema fulani kafufuka alikuwa kachukuliwa msukule..Ila ukiuliza watu kila mtu anakwambia kaoneka, kaonekana...mara inasemekana....hakuna hata mmoja anayesema kamuona....
Wamuache marehem ajipumzikie kwa amani...Hakuna cha ameonekana wala nini..