marefa wa England na Man Utd - Kichefuchefu

marefa wa England na Man Utd - Kichefuchefu

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
592
kana kwamba utumbo waliofanya juzi dhidi ya Chelsea hautoshi, tayari refa wa mechi ya leo tena anaendeleza kichefuchefu, tena palepale darajani. Sijui mzee Faga mchawi?
 
faul kibao, kadi nje nje kwa wapinzani.
 
Unaangalia mechi gani wewe?
 
Back
Top Bottom