Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alitetea shambulio hilo dhidi ya Iran, akisema ilikuwa muhimu kuizuia serikali hiyo kusonga mbele kuelekea silaha za nyuklia.
"Katika hali yoyote ile nchi inayoongozwa na viongozi wa kidini wa Kishia wenye msimamo mkali... haiwezi kumiliki silaha za nyuklia."
Rubio alisema Iran ilikuwa ikijenga "ngao" ya makombora na ndege zisizo na rubani ili kulinda mpango wake wa nyuklia, akionya kwamba dunia ilikuwa inakaribia hatua ambapo "hakuna mtu anayeweza kufanya chochote kuihusu."
"Hii ilikuwa nafasi yetu ya MWISHO bora... rais alifanya uamuzi sahihi wa kuiangamiza sasa."
View: https://t.me/ILTVnews/7613
Lakini unaishi Marekani bado huo ndio utofauti na IranIran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Kwa nini?Iran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Na hiyo ndiyo sababu inayomsababishia Iran apigwe kama Ngoma!!Na uzuri Irani ashasema yeye anajenga nuclear kwa ajili ya nishati. Ila wakimuudhi ataanza kufikiria kujenga nuclear kwa ajili ya silaha za maangamizi, na pindi akikamilisha majaribio yake atayafanyia Israel 😂😂
Lakini pia izrael nadhani ataanza kuogopa vita mana safari hii ameguswa kunako sehemu mbaya mno.Na hiyo ndiyo sababu inayomsababishia Iran apigwe kama Ngoma!!
Wewe wasema Israel kama Israel ni watu wa vita hawajaanza leo walianza toka enzi za Farao, Hata Hitler naye alisema hivyo hivyo kuwa amewagusa sehemu mbaya mno matokeo yake hadi leo wapo na wanaendelea!!Lakini pia izrael nadhani ataanza kuogopa vita mana safari hii ameguswa kunako sehemu mbaya mno.
Wee nawe nilijua unajielewa kumbe puuzi moja. Hao waizrael wazayoni sio wale wa enzi za musa na farao. Hao hawana Mungu hao wana lusifa moenda ushogaWewe wasema Israel kama Israel ni watu wa vita hawajaanza leo walianza toka enzi za Farao, Hata Hitler naye alisema hivyo hivyo kuwa amewagusa sehemu mbaya mno matokeo yake hadi leo wapo na wanaendelea!!
.
Kipindi cha farao,Hitler na wengine wengi Israel hawakuwa na Jeshi kumbuka!!
Jiulize mwenyewe sasa wana IDF mambo yatakuwaje? Jibu bila shaka unalo!!
Una ushahidi kudhibitisha upumbavu wako huo?Wee nawe nilijua unajielewa kumbe puuzi moja. Hao waizrael wazayoni sio wale wa enzi za musa na farao. Hao hawana Mungu hao wana lusifa moenda ushoga
Sijawahi pita madrasa. Mimi ni mkatoliki Tena mseminari wa seminari ndogo.Una ushahidi kudhibitisha upumbavu wako huo?
Au ndivyo mnavyodanganyana kwenye Madrasa yenu?
hivi wale jamaa walivyo na imani ya ajabu wakimiliki nyuklia au wakawa super power unafikiri dunia itakuaje?Iran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Iran haijawahi kuanzisha vita hata moja!hivi wale jamaa walivyo na imani ya ajabu wakimiliki nyuklia au wakawa super power unafikiri dunia itakuaje?
Mfano mzuri sikiliza kauli za viongozi wao wa dini kauli wanazozitoa dhidi ya wasiokuwa wa imani yao
hivi wale jamaa walivyo na imani ya ajabu wakimiliki nyuklia au wakawa super power unafikiri dunia itakuaje?Iran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Wale hesbollah, hamas na makundi ya aina hiyo huoni wanachokifanya?Iran haijawahi kuanzisha vita hata moja!
Iran haijawahi kuua [assassination] viongozi wa mataifa mengine.
Iran haijawahi kuvamia nchi nyingine na kumteka kiongozi wake.
Iran haijawahi kutumia mabomu ya nyuklia popote pale.
Sasa jiulize, Marekani haijawahi kufanya yote hayo?
Sijawahi pita madrasa. Mimi ni mkatoliki Tena mseminari wa seminari ndogo.
Marekani inaifadhili Israel.hivi wale jamaa walivyo na imani ya ajabu wakimiliki nyuklia au wakawa super power unafikiri dunia itakuaje?
Mfano mzuri sikiliza kauli za viongozi wao wa dini kauli wanazozitoa dhidi ya wasiokuwa wa ima
Wale hesbollah, hamas na makundi ya aina hiyo huoni wanachokifanya?
Na mfadhili wao mkubwa unajua ni nani