Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alitetea shambulio hilo dhidi ya Iran, akisema ilikuwa muhimu kuizuia serikali hiyo kusonga mbele kuelekea silaha za nyuklia.
"Katika hali yoyote ile nchi inayoongozwa na viongozi wa kidini wa Kishia wenye msimamo mkali... haiwezi kumiliki silaha za nyuklia."
Rubio alisema Iran ilikuwa ikijenga "ngao" ya makombora na ndege zisizo na rubani ili kulinda mpango wake wa nyuklia, akionya kwamba dunia ilikuwa inakaribia hatua ambapo "hakuna mtu anayeweza kufanya chochote kuihusu."
"Hii ilikuwa nafasi yetu ya MWISHO bora... rais alifanya uamuzi sahihi wa kuiangamiza sasa."
View: https://t.me/ILTVnews/7613
Kwa hiyo mkuu unatetea us kuivamia irani.Wewe wasema Israel kama Israel ni watu wa vita hawajaanza leo walianza toka enzi za Farao, Hata Hitler naye alisema hivyo hivyo kuwa amewagusa sehemu mbaya mno matokeo yake hadi leo wapo na wanaendelea!!
.
Kipindi cha farao,Hitler na wengine wengi Israel hawakuwa na Jeshi kumbuka!!
Jiulize mwenyewe sasa wana IDF mambo yatakuwaje? Jibu bila shaka unalo!!
Wewe ni mkundugu.Una ushahidi kudhibitisha upumbavu wako huo?
Au ndivyo mnavyodanganyana kwenye Madrasa yenu?
Nchi pekee iliyowahi kutumia nuclear bomb ni USA dhidi ya Japan huko Hiroshima na Nagasaki mano mwaka 1945 na kuua takriban watu 200,000. Ikiwa ulimwengu utahitaji haki na ukweli basi waanze naye mmarekani kumdhibiti kwa kuwa na silaha kubwa za maangamizi.Kwa nini?
Acha ujinga hakuna nchi duniani iliyo wahi kutumia Nuclear Bomb!!Nchi pekee iliyowahi kutumia nuclear bomb ni USA dhidi ya Japan huko Hiroshima na Nagasaki mano mwaka 1945 na kuua takriban watu 200,000. Ikiwa ulimwengu utahitaji haki na ukweli basi waanze naye mmarekani kumdhibiti kwa kuwa na silaha kubwa za maangamizi.
Marekani inaifadhili Israel.
Marekani ndo waliokuwa wanamfadhili Saddam Hussein kabla hawajamgeuka.
Marekani ndo walimfadhili Osama Bin Laden kabla hawajamgeuka.
Marekani ndo inataka kuivamia Cuba na kuipindua serikali iliyopo madarakani.
Marekani inataka kuivamia na kuiteka Greenland.
CIA ya Marekani ndo ilihusika na kumuua Patrice Lumumba.
Marekani ilikuwa inamfadhili Jonas Savimbi wa Angola.
Marekani ndo ilijiingiza kwenye vita vya Vietnam na kuua watu zaidi ya milioni moja.
Marekani ndo nchi pekee ambayo imewahi kuyatumia mabomu ya nyuklia.
Sasa wewe hoja yako ni nini hapa? Unachokitea ni kipi?
Eti sasa umeanza kujihami!!Utofauti uliopo kati yako na huyo uliyem-quote ni kuwa, wewe unazo facts na ndio msingi wa mjadala yeye anaenda bila facts.
Sasa hivi utaitwa pro Iran.
Acha ujinga hakuna nchi duniani iliyo wahi kutumia Nuclear Bomb!!
Atomic Bomb ndilo lililotumika Hiroshima na Nagasaki!!!
Unafahamu nishati uranium yake inarutubishwa kwa asilimia ngapi na Iran imesharutubisha kwa asilimia ngapi na unafahamu nyuklia uranium yake inarutubishwa kwa asilimia ngapi. Tuanzie hapo kwanza.Na uzuri Irani ashasema yeye anajenga nuclear kwa ajili ya nishati. Ila wakimuudhi ataanza kufikiria kujenga nuclear kwa ajili ya silaha za maangamizi, na pindi akikamilisha majaribio yake atayafanyia Israel 😂😂
Hakika. America is the most irresponsible nation on earth. Hakuna taifa jingine lolote duniani ambalo limewahi kutumia nuclear weapons dhidi ya binadamu!Iran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Dunia nzima hadi raia wa USA wenyewe wanapinga hii vita dhidi ya Iran,Mnahangaika Bure na mashetani US na Mazayuni lini shetani akaipinga dhambi? Iran anapigana vita ya dunia mbaya kuliko wakati wote kutokana na maendeleo ya technology duniani hivyo Kuna uwezakano wa kupigwa bomu la nyuklia(Mungu aupushie mbali) Sioni namna ya hawa washenzi kushinda vita bila option hio muajemi anapeleka moto sio poa
Ni taifa haribifu ila ndio upo huko kwao umezamiaIran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile.
Nani aliipa ruhusa Marekani kuwa na silaha za nyuklia?
Marekani ndo taifa haribifu kabisa hapa duniani kushinda mataifa yote.
Na kama kuna taifa ambalo halipaswi kabisa kuwa na silaha za aina yoyote ile, basi taifa hilo ni Marekani.
Tatizo si kila mmarekani anafurahia nini serikali yao inachokifanya, kama wakipatikana viongozi waadilifu wenye kupenda amani nadhani taifa la Amerika lingekuwa la kuigwa, lakini linaendeshwa na wachache wenye ukwasi na ushawishi mkubwa ndani ya nchi wenye viburi ndiyo maana biashara yao kubwa ni vita tu.Ni taifa haribifu ila ndio upo huko kwao umezamia