Marco Rubio atoa neno kuhusu Iran!!!!!

Marco Rubio atoa neno kuhusu Iran!!!!!

Tatizo si kila mmarekani anafurahia nini serikali yao inachokifanya, kama wakipatikana viongozi waadilifu wenye kupenda amani nadhani taifa la Amerika lingekuwa la kuigwa, lakini linaendeshwa na wachache wenye ukwasi na ushawishi mkubwa ndani ya nchi wenye viburi ndiyo maana biashara yao kubwa ni vita tu.
Hiyo biashara ya vita ndiyo inayoleta maendeleo mnayovutiwa nayo kuzamia huko
 
Hiyo biashara ya vita ndiyo inayoleta maendeleo mnayovutiwa nayo kuzamia huko
Inawezekana kuna ukweli fulani ndani yake, lakini ni lazima tubadilike. Ikiwa tutaweza kusaidiana katika maendeleo, basi sababu za kuzamia hazitakuwepo.
Kama nyuki hufuata maua ili kutengeneza asali, kwa nini tusipande maua katika nchi zote za ulimwengu? Hivyo hatutajikuta tukivamia au kuzamia nchi za watu kwa ajili ya kutafuta ‘asali’ ya maendeleo.”
 
Back
Top Bottom