Mkuu usipotoshe hizo ni kura na wala sio percentage(%) kama ulivyoonyesha hapo kwenye post yako.Tatizo ya aliyeleta % kakosea kwa Mudavadi kaweka 8% huku ikiwa 3%
Kenyatta 54% Odinga 41% Mudavadi 3% Keneth 1% na 1% imegawanywa kwa waliobaki.
hapatatawalika?!!
Hee kwani na Wakenya nao wanakujaga kupiga kura TZ?Ni pigo kwa Chamema.
Lakin matokeo mengi ya kambi ya raila bado hayajatoka
gap la kura laki 5,ni kubwa mno aisee
Lakin matokeo mengi ya kambi ya raila bado hayajatoka
Elungata umeanza kutumia busaa?wapi?,matokeo yanatoka sehemu tofauti tofauti,kuna matokeo yalikua yanatoka maeneo ya siaya,kisumu etc ambako kibaki alikua anamzidi uhuru kwa hadi kura 40,000,lakini hayajabadili hali,uhuru anakata mbuga ,vibaya.
Sipati picha hiyo government ya boyz to men,UHURUTO.
Lakini mbona mikutano yake ilikua inajaa watu wengi sana,wamechakachua bana.Palitwalika wakati wa Kibaki itashindika na hili ambapo ni wazi tu kua Wakenya wameamua kumpiga chini huyu Odinga..
Spike Lee it is too early to predict the winner, so far only 31% of vote results have been talled.
Lakini mbona mikutano yake ilikua inajaa watu wengi sana,wamechakachua bana.
Spike Lee it is too early to predict the winner, so far only 31% of vote results have been talled.
Ungesoma vizuri wala usingemalaaumu, ni kwmaba hajatenganisha % hapo we angalia hii 1,833,68754 %
Ni pigo kwa Chamema.
Lakini mbona mikutano yake ilikua inajaa watu wengi sana,wamechakachua bana.
ujue hata cancer ina surviors!! So dont loose hope, unatibika ugonjwa wako!
Spike Lee it is too early to predict the winner, so far only 31% of vote results have been
talled.
Ni pigo kwa Chamema.
gap la kura laki 5,ni kubwa mno aisee