Mfanyabiashara Richard Paul Maarufu la Jina la Marcas Amechukua fomu ya UNEC Mkoa wa Arusha Mapema leo katika Ofisi za CCM Arusha. Wakati akichukua fomu hiyo Richard alitanabaisha Nia yake ya dhati ya kuongoza chama hicho katika nafasi hiyo na kuwa Muwakilishi wa nafasi ya UNEC akiwakilisha Mkoa wa Arusha.
"Nina nia ya Dhati kukitumikia Chama, Nopo tayari kukiunganisha chama na kuondoa makundi yote yanayotajwa kuwepo katika Mkoa wetu wa Arusha. Ni wakati sahihi wa Kumsaidia Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan."
Alisema Richard Paul Maarufu kwa jina la Marcas kutokana na kumiliki kampuni ya ukusanyaji wa Madeni na Minada ya Marcas Debt Collectors Ltd.