Marangu coach Arusha-dar, poor customer service

Richie the1

New Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
3
Reaction score
6
Hawa jamaa walichotufanyia leo tarehe 28 nov 2019...gari ya kwanza kutoka arusha sio cha kufanya gari za kisasa. Yaani tumekuja na gari tukiwa tunaelekea dar ikaharibika msata (hilo ni jambo la kawaida) sasa namna walivyo handle the situation ndio tatizo linapoanza wametufaulisha kwenye coaster mizigo wakaweka kwenye gari ya pili iliyokua nyuma yetu na hii coaster kumbe tunajilipia na isitoshe inaishia makumbusho huku mizigo yetu tukitakiwa kwenda kuichukua shekilango...nauli ya dar tumetoa 33k nayli ya msata-makumbusho 5k,majibu yao kutoka kwenye ofisi zao zote dar,moshi na arusha ni mabovu na wanakukatia simu mteja. Kwa hali hii mimi binafsi kupanda hii gari pale nitakapo kosa kabisa gari ya kupanda jambo ambalo ni gumu sana kwa karne hii option zimekua nyingi biashara huria huwezi ku treat mteja kipuuzi kiasi hiki na ukategemea kukutangaza vizuri kurecommend wengine, mimi nimepanda kwa recommendation ya mtu ambae hajawahi panda alisikia tuu kwa mtu, na yeye baada ya kusikia hivi hana mpango wa kupanda tena sasa hapo tuu ni wateja w3. Wabadilike laa sivyo wateja tunahitaji huduma siku hizi sio enzi za Mwalimu hizi.
 
Japo wamefanya kosa kubwa kibiashara, ila kwaakili zetu wabongo kama usemayo ni kweli, itachukua muda sana watu kuanza kususia bidhaa kwasababu ya huduma. Rejea Vodacom na kuwadukua wanasiasa. Kampeni ziliendeshwa mno ila hakuna aliyejali
 
Kwa huduma ya usafiri inawezekana maana option ni nyingi , rejea kipindi kile mohamed trans zinaanguka anguka.

Changamoto ni hao abiria kukosa umoja, haiwezekani wakubali kulipa 5000 kuletwa dar ikiwa alishalipia nauli ya kumtoa arusha tu Dar es Salaam. Siku nyingine kiongozi jaribu walisiliana na mamlaka yoyote inayohusiana na huduma za usafiri, pia waweza tumia polisi wa barabarani kukupa msaada
 
Polisi wetu ndio kabisaa hawana msaada kwaabiria barabarani. Nimewahi kukamatwa sina leseni barabarani na nilikuwa nimebeba abiria na kuna waliokuwa wamezidi. Nikaambiwa nipeleke gari kituoni. Abiria wakauliza hatma yao wkaambiwa watafute usafiri mwingine (sehemu tulipokuwa haikuwa na magari yanayoenda hiyo route). Nikamsihi bwana afande achukue hata namba ya gari ili wakati narudi nipitie kituoni mwenyewe, akagoma. Niliogopa kulipa fine juukwajuu maana sikujua huko mbele wamekaa vp nisijemaliza faida njiani. Na kawaida hawawezi kuandika notification bila nqmba ya leseni ya dereva. Akili ikanicheza chap nikashuka garini nikatoa na funguo kabisa. Nikawaambia abiria subirini niwaletee usafiri mwingine (kumbuka kuna umbali kati ya tuendako na tutokako) nikaanza kutembea harakaharaka kiasi, lengo nilitaka kupima upepo wa bwana afande kama atawasaidia abiria, ama dereva. Nilifika kama umbali wa mita mia hv, akaniita nikarudi. Akaniuliza kama nina leseni kweli, nikasema ndio. Akaanza kukagua gari upya (wakati huo imepita nusu saa tangu tusimame) mara bima sijui nini. Abiria wanalalamika tu wala hawasikilizi. Baadaye akaniomba namba ya simu nikampa akanipa na yakwake ili mbele nisisumbuliwe. Nikaondoka tukiahidiana kuonana kituoni ila kwakusota. Nashukuru nilifika na niliporudi nikaenda mojakwmoja nyumbani nikachukua leseni nikaenda nayo kituoni na habari ikaishia hapo. Nachojaribu kueleza hapa ni jinsi gani polisi hawawezi kusaidia abiria pindi chombo/dereva anapokiuka sheria. Ni wachache sana
 
Lakini mwisho wa siku yeye ndio alikuwa msaada kwako kama ulivyo eleza
 
Kwanza mngawasiliana na trafiki na watu wa sumatra.

Hiyo gari ya makumbusho ingewapeleka kituo cha polisi kudai haki yenu.
 
Hawa jamaa walichotufanyia leo tarehe 28 nov 2019...gari ya kwanza kutoka arusha sio cha kufanya gari za kisasa. Yaani tumekuja na gari tukiwa tunaelekea dar ikaharibika msata (hilo ni jambo la kawaida) sasa namna walivyo handle the situation ndio tatizo linapoanza wametufaulisha kwenye coaster mizigo wakaweka kwenye gari ya pili iliyokua nyuma yetu na hii coaster kumbe tunajilipia na isitoshe inaishia makumbusho huku mizigo yetu tukitakiwa kwenda kuichukua shekilango...nauli ya dar tumetoa 33k nayli ya msata-makumbusho 5k,majibu yao kutoka kwenye ofisi zao zote dar,moshi na arusha ni mabovu na wanakukatia simu mteja. Kwa hali hii mimi binafsi kupanda hii gari pale nitakapo kosa kabisa gari ya kupanda jambo ambalo ni gumu sana kwa karne hii option zimekua nyingi biashara huria huwezi ku treat mteja kipuuzi kiasi hiki na ukategemea kukutangaza vizuri kurecommend wengine, mimi nimepanda kwa recommendation ya mtu ambae hajawahi panda alisikia tuu kwa mtu, na yeye baada ya kusikia hivi hana mpango wa kupanda tena sasa hapo tuu ni wateja w3. Wabadilike laa sivyo wateja tunahitaji huduma siku hizi sio enzi za Mwalimu hizi.

Kapricon 2x2 luxury kwa 20,000 huduma safi kabsa wewe unapanda basi jeusi hilo tiiii unategemea nini
 
Hii marangu si ni high class?niliwahi kuipanda natoka Moshi to dar ilikuwa inatembea taratibu sana ,
 
Marangu coach wa hovyo hao....
Walinitoa Dar nafikia Leganga eti wakaniambia hawashushi hadi Arusha au ningeshuka USa kisa haikuandikwa hivyo kwenye chart yao.....Nikaapa kutopanda basi lao milele ....bora nibadilishe njia nipite dom kama ndilo basi pekee lilobaki .......nkt!
 
aisee huo ni upuuzi wa hali ya juu wanafanya.

hawa Marangu Coach dawa yao ni kuwatangaza vibaya ili jamii ya wastaarabu iwaepuke.
 
huyu mmiliki ameandika 'Marangu kochi'..

lakini hana uwezo wa Ku maintain status ya jina Marangu kwa hayo mangarangara yake mabovu

wateja wanapenda Marangu,japo mmiliki hapendi Marangu kochi zake zinazochafua taswira ya Marangu
 
Marangu ni upuuzi mtupu niliwahi panda naenda Moshi mjini, Watu wa ROMBO shumbwela tuu karibu TOLISO
 
Hawa jamaa walichotufanyia leo tarehe 28 nov 2019...gari ya kwanza kutoka arusha sio cha kufanya gari za kisasa. Yaani tumekuja na gari tukiwa tunaelekea dar ikaharibika msata (hilo ni jambo la kawaida) sasa namna walivyo handle the situation ndio tatizo linapoanza wametufaulisha kwenye coaster mizigo wakaweka kwenye gari ya pili iliyokua nyuma yetu na hii coaster kumbe tunajilipia na isitoshe inaishia makumbusho huku mizigo yetu tukitakiwa kwenda kuichukua shekilango...nauli ya dar tumetoa 33k nayli ya msata-makumbusho 5k,majibu yao kutoka kwenye ofisi zao zote dar,moshi na arusha ni mabovu na wanakukatia simu mteja. Kwa hali hii mimi binafsi kupanda hii gari pale nitakapo kosa kabisa gari ya kupanda jambo ambalo ni gumu sana kwa karne hii option zimekua nyingi biashara huria huwezi ku treat mteja kipuuzi kiasi hiki na ukategemea kukutangaza vizuri kurecommend wengine, mimi nimepanda kwa recommendation ya mtu ambae hajawahi panda alisikia tuu kwa mtu, na yeye baada ya kusikia hivi hana mpango wa kupanda tena sasa hapo tuu ni wateja w3. Wabadilike laa sivyo wateja tunahitaji huduma siku hizi sio enzi za Mwalimu hizi.
Hawa jamaa wahudumu wao ni hovyo kabisa. Toka july 2019 niliapa sitakuja kutumia kampuni hii iwe kusafiri au kumsafirisha mtu. Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom