Marais wetu wakiteta jambo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
Picha inajieleza na cuptions zake hizi hapa. Hongera Tz kwa kumpata 'mtu wa watu'!

chanzo: Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK'.
 
Hivi wale wavuta bangi wavaa magunia walifanikiwa kumuona Jakaya?
 
hapo kakosekana prezdaa nyoshi el saadat, na zomboko wa radio one
 
Dah vina wa Geita wangevaa kama huyo kabda wangeingia hapo.
 

Ninavyowajua Mods Na Kwa Mwenendo Wao Wa Siku Hizi Wa Kuondoa Mada Humu Zinazomuhusisha JK Hii Nayo Najua Sasa Hivi Itaondolewa Humu....Jamani Mods Tuachieni Uhuru Wa Either Kumsema Or Kumkosoa Huyu Mtu Na Isitoshe Hata Yeye Mwenyewe Nimesikia Kuwa Anapenda Mno Watu Humu Tumkimkomalia Na Yupo Pia Humu Humu Kama Member Na Nimesikia Anapanga Kukutana Na Mimi GENTAMYCINE Kwani Ananiulizia Mno.....Sijui Anataka Kunikabidhi Nami Ukuu Wa Wilaya au Mkoa au Kunipa Ukurugenzi Kama Siyo Kuniteua Kuwa Balozi Either Abroad Or Overseas. Mods Chukulieni Hili Very Seriously Jamaa Anapenda Sana Madongo Yetu Humu JF Ila Anachukizwa Nanyi Kwa Kitete Chenu Cha Kuondoa Threads Zinazomuhusu.
 
Sasa kumpa hivyo vyeo mtu mwenye hadhi ya 'urais' si ni sawa na demotion mkuu!? Au kama 'anawakingia' kifua 'wananchi wake' ...ref. #4 cc: utafiti, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=63346"]kabanga[/URL]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…