mtupori2010
Member
- Sep 13, 2010
- 22
- 8
Huo ndio ukweli wake na mtizamo wake,he ulitaka awe mnafiki kwa kisingizio cha uzalendo. Aache kusema ukweli kwa jinsi utafiti(usio rasmi) unavyomuongoza na asifie asichokiamini(hypocrisy). Huo utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami(in Sizonje's voice).
Kukosoa ndio kujenga namba moja kwa taarifa yako.Mtu anajirekebisha vipi asipokosolewa?Mfumo(system) unaotuongoza kama tusipoukosoa sisi je linatakiwa liwe ni jukumu la nani kufanya hivyo? Unafiki haujengi bali unabomoa.Mwanaume wa kweli hakimbii matatizo never, never, ukiona Mwanaume anatamani cha mwenzie na kuponda chake huyo hawezi kuendesha familia amini nakwambia?
Huyo ni kama Henri Kilewo analipiwa mpaka nauli ya daladala, lkn mdomo umejaa maneno yasiyo na vitendo!
Mwanaume anajenga kwake, habomoi!
Kukosoa ndio kujenga namba moja kwa taarifa yako.Mtu anajirekebisha vipi asipokosolewa?Mfumo(system) unaotuongoza kama tusipoukosoa sisi je linatakiwa liwe ni jukumu la nani kufanya hivyo? Unafiki haujengi bali unabomoa.
Tatizo nadhani ni upeo wa uelewa,sio kila anayetoa maoni tofauti na mtizamo wako ana hayo mambo yenu ya vyama japo nadhani nyie mashabiki wa vyama mnafahamiana. I'm just a critic by nature hasa pale ninapoona mambo hayako sawa, popote duniani wakosoaji wa mifumo tawala hawakosekani na ni chachu kwa kuwakumbusha mambo yanayoenda mrama. Si busara kuwa na jazba katika masuala ya kukosoana na kurekebishana.Huko siyo kukosoa wanavyofanya chadema bali ni chuki dhidi ya nchi yao waliozaliwa, sasaukiona Mwanaume yuko hivyo ujue kuna tatizo la malezi hakulelewa kuwa Mwanaume snayeweza kujisimamia na mwenye msimamo ndo maana wanakwenda kufwata matukio!
Juzi hapa chadema wote walikuwa upande wa Upinzani Kenya mpaka siku Mbowe alipowaamlia kumfwata Uhuru Kenya nao wote wakafanya hivyo, sasa hakuna uhusiano wowote kukosoa bali ni mapungufu makubwa ya manhood, msome tena alichoandika Joyce Kiria kuhusu Mme wake Henri Kilewo!
Tatizo nadhani ni upeo wa uelewa,sio kila anayetoa maoni tofauti na mtizamo wako ana hayo mambo yenu ya vyama japo nadhani nyie mashabiki wa vyama mnafahamiana. I'm just a critic by nature hasa pale ninapoona mambo hayako sawa, popote duniani wakosoaji wa mifumo tawala hawakosekani na ni chachu kwa kuwakumbusha mambo yanayoenda mrama. Si busara kuwa na jazba katika masuala ya kukosoana na kurekebishana.
Unaona ana uwezo wa kujifunza huyu..Magufuli ana mengi ya faida ya kujifunza kutoka kwa Kenyatta
Immaturity ni kuogopa kukosoa,kama kukosoa unakutafsiri kama kuponda hilo ni tatizo la tafsiri. Let's agree to disagreed on that one. Kosa litabaki kuwa kosa hata lifanywe na mtu wako wa karibu hivyo kumkosoa na kumrekebisha ni wajibu.Unaiponda na kuiattack nchi yangu halafu unategemea nikae kimya? Never, sijalelewa hivyo kwetu, mimi ni nimezaliwa hapa TZ kwa sababu, kuna sababu Mungu kanileta hapa hivyo kuiponda na kuitalilisha nchi uliyozaliwa inaonyesha immaturity na kwamba hauwezi kusimama mwenyewe wima kama Mwanaume!
Mwanaume hakimbii matatizo, bali Mwanaume huyakabili matatizo!