Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

Kama mapinduzi yamefanyika , Zanzibar haiwezi kuwa mkoa wa Tanganyika hata mfanye nini, Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo, wale anti-Zanzibar sentiments ukiwemo wewe Pasco, tunakwambieni go to hell....f**** haters.
Soma Historia ya Mapinduzi Kijana,Acha kudanganywa na Hadithi za Vijiweni.Waliofanya Mapinduzi ya Kumng'oa Sultani ni Tanganyika wakisaidiana na Uganda waliowatuma Mamluki wakiongozwa na John Okelo.Tanganyika ilivyoona Okelo anataka Kujitangaza Rais,Haraka haraka ikamtangaza Karume aliyekuwa Dar Es Salaam wakati wa Mapinduzi.Baada ya Miezi Mitatu tu ya Mapinduzi,Tanganyika iliamua kuiweka Zanzibar Chini ya Uangalizi wake na Kuiachia Mamlaka ya Ndani.Baada ya Tanganyika kuongeza Himaya yake ya Zanzibar ilibadili Jina na kujiita Tanzania. Zanzibar hairuhusiwi kufanya Maamuzi yoyota Makubwa bila idhini ya Tanganyika(hutamkwa Tanzania).
Kwa hiyo Watanganyika tunaelewa kwa Undani sana jinsi tulivyomng'oa Sultani na hatupo tayari kukiacha Kisiwa cha Zanzibar.
 
Soma Historia ya Mapinduzi Kijana,Acha kudanganywa na Hadithi za Vijiweni.Waliofanya Mapinduzi ya Kumng'oa Sultani ni Tanganyika wakisaidiana na Uganda waliowatuma Mamluki wakiongozwa na Joohn Okelo.Tanganyika ilivyoona Okelo anataka Kujitangaza Rais,Haraka haraka ikamtangaza Karume aliyekuwa Dar Es Salaam wakati wa Mapinduzi.Baada ya Miezi Mitatu tu ya Mapinduzi,Tanganyika iliamua kuiweka Zanzibar Chini ya Uangalizi wake na Kuiachia Mamlaka ya Ndani.Baada ya Tanganyika kuongeza Himaya yake ya Zanzibar ilibadili Jina na kujiita Tanzania. Zanzibar hairuhusiwi kufanya Maamuzi yoyota Makubwa bila idhini ya Tanganyika(hutamkwa Tanzania).
Kwa hiyo Watanganyika tunaelewa kwa Undani sana jinsi tulivyomng'oa Sultani na hatupo tayari kukiacha Kisiwa cha Zanzibar.

Naona umepitwa na wakati wewe mzee, hujui unachokisema, huijui Zanzibar kwa sababu wewe ndio wale anti - Zanzibar sentiment, ninachokwambia kashindwa baba yako nyerere utaweza wewe, hujui lolote wewe ni brain washed umejazwa unyerere ubongoni mwako na umekujaa
 
Mimi mwenyewe sijawahi kuona nchi ina marais wawili.Very strange
Nchi ni mbili tu, Tanganyika na Zanzibar, Tanzania sio nchi ni shirikisho tu, vipi iwe na Rais wakati ni shirikisho ? Kwa mujibu wa katiba ya zanzibar mabadiliko ya 10 inasema Zanzibar ni nchi na mipaka yake. Tanzania sio nchi ni shirikisho.
 
Kwa nini ushangai nchi yenye marais wawili na wote wakiwa maamili jeshi wakuu?
Si wana ongoza nchi zao ? Huyu wa Tanzania anaongoza nchi gani ? Tanzania haiwezi kuwa nchi, ni shirikisho tu za nchi, hatuwezi tukawa na Rais wa Tanzania ni usanii tu
 
Naona umepitwa na wakati wewe mzee, hujui unachokisema, huijui Zanzibar kwa sababu wewe ndio wale anti - Zanzibar sentiment, ninachokwambia kashindwa baba yako nyerere utaweza wewe, hujui lolote wewe ni brain washed umejazwa unyerere ubongoni mwako na umekujaa

Kijana,Sisi Wazee ndio tunaojua Historia ya Nchi hii na Baba zetu walishiriki kumpindua Sultani wakitokea Tanganyika.Juzi Dr.Shein kakumbushwa hili na kaapa asiyetaka Muungano ahame Zanzibar.
Damu ya Watanganyika ilimwagika kumtoa Sultani ambaye alishindikana kuondoka kwa njia za Kidemokrasia.Hatuwezi kukubali kuiacha Zanzibar kirahisi kama unavyofikiria.Mtaendelea kuwa na Utawala wenu wa Ndani ili msipoteze utamaduni wenu lakini lazima muendelee kuwa chini ya Usimamizi wa Tanganyika.
Bunge la Katiba litaenda kufanya Mabadiliko madogodogo hasa kwenye Katiba ya Zanzibar lakini katu sio kuanzisha Serikali ya Tanganyika maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema Zanzibar ina hadhi sawa na Tanganyika.
Siku zote kumbuka,Zanzibar haina Hadhi sawa na Tanganyika kwa sababu Zanzibar ni Sehemu ya Tanganyika(Tanzania) ndio maana Rais wa Tanganyika anapigiwa Kura mpaka Zanzibar.
Kijana usiwe mbali na Wazee ili ujuzwe ukweli wa Mambo.
 
Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.

Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?

Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.

Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.

Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,

Nawakilisha.
Kama ni suala la uwingi wa marais basi hata hao wawili ni wengi bali anatakiwa kuwa mmoja kwenye nchi moja
 
Kijana,Sisi Wazee ndio tunaojua Historia ya Nchi hii na Baba zetu walishiriki kumpindua Sultani wakitokea Tanganyika.Juzi Dr.Shein kakumbushwa hili na kaapa asiyetaka Muungano ahame Zanzibar.
Damu ya Watanganyika ilimwagika kumtoa Sultani ambaye alishindikana kuondoka kwa njia za Kidemokrasia.Hatuwezi kukubali kuiacha Zanzibar kirahisi kama unavyofikiria.Mtaendelea kuwa na Utawala wenu wa Ndani ili msipoteze utamaduni wenu lakini lazima muendelee kuwa chini ya Usimamizi wa Tanganyika.
Bunge la Katiba litaenda kufanya Mabadiliko madogodogo hasa kwenye Katiba ya Zanzibar lakini katu sio kuanzisha Serikali ya Tanganyika maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema Zanzibar ina hadhi sawa na Tanganyika.
Siku zote kumbuka,Zanzibar haina Hadhi sawa na Tanganyika kwa sababu Zanzibar ni Sehemu ya Tanganyika(Tanzania) ndio maana Rais wa Tanganyika anapigiwa Kura mpaka Zanzibar.
Kijana usiwe mbali na Wazee ili ujuzwe ukweli wa Mambo.

Kwanza huyo Dr Shein ana tittle deed ya Znzibar kwa maana hiyo Zanzibar ni ya wananchi wa zanzibar na kwa maana hiyo hahami mtu , pili bunge la katiba ni taasisi inayowakilisha wananchi pamoja na kuchambua maoni yao yaliyomo kwenye rasimu
kwa hiyo sio milki ya mtu binafsi. Na wewe huna uzee wa kunifundisha mimi, shule nimesoma kutembea nimetembea na nimeishi na watu wa kila aina kwa hiyo huna cha kunieleza
 
Kijana,Sisi Wazee ndio tunaojua Historia ya Nchi hii na Baba zetu walishiriki kumpindua Sultani wakitokea Tanganyika.Juzi Dr.Shein kakumbushwa hili na kaapa asiyetaka Muungano ahame Zanzibar.
Damu ya Watanganyika ilimwagika kumtoa Sultani ambaye alishindikana kuondoka kwa njia za Kidemokrasia.Hatuwezi kukubali kuiacha Zanzibar kirahisi kama unavyofikiria.Mtaendelea kuwa na Utawala wenu wa Ndani ili msipoteze utamaduni wenu lakini lazima muendelee kuwa chini ya Usimamizi wa Tanganyika.
Bunge la Katiba litaenda kufanya Mabadiliko madogodogo hasa kwenye Katiba ya Zanzibar lakini katu sio kuanzisha Serikali ya Tanganyika maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema Zanzibar ina hadhi sawa na Tanganyika.
Siku zote kumbuka,Zanzibar haina Hadhi sawa na Tanganyika kwa sababu Zanzibar ni Sehemu ya Tanganyika(Tanzania) ndio maana Rais wa Tanganyika anapigiwa Kura mpaka Zanzibar.
Kijana usiwe mbali na Wazee ili ujuzwe ukweli wa Mambo.

Paukwa!pakawa!hivi munauwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi?mfumo kristo lazima uhame zanzibar ukitaka usitake.
 
Damu ya watanganyika imemwagika kumtoa Sultani kwani mlitumwa, ni kujipendekeza kwenu tu kwa wakoloni, damu iliyomwagika ni ya wazanzibar na sio watanganyika.Watanganyika ndio waliouwa maelfu ya wazanzibar waliokuwa hawana hatia
 
United Arab emirates kwa ufupi Dubai ,huko muungano ni nchi saba ,na kila nchi ina raisi wake huitwa Hakim ,kwa mfano huanzia kwa Sheikh fulani bin fulani mkuu wa majeshi na hakim wa Shaja ,mfano ila hiyo Hakim ni kama Raisi wa hiyo Shaja Na zaidi ya wote ni Mkuu wa hiyo united arabuemirates ,sasa kusema hujaona inawezekana ila leo utakuwa umeona ,nenda kaguguli ,utupunguzie mzigo.
Una uhakika kwamba hao ni Marais? Maana "United Arab Emirates" inamaanisha "Muungano wa falme za Kiarabu" au "Umoja a Falme za Kiarabu" kama utapenda. Sasa kama ni falme na si Jamhuri marais wanatoka wapi tena?
 
Paukwa!pakawa!hivi munauwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi?mfumo kristo lazima uhame zanzibar ukitaka usitake.

Wananchi gani unaoongelea?Ninavyojua CCM ndio inayoungwa Mkono na Watu wengi Visiwani na ndio maana ilishinda Uchaguzi na ikatoa Rais.CCM imeshatangaza inaunga Mkono Serikali Mbili sasa hizo nguvu za Wananchi mtazitoa wapi?.Kama mtatumia nguvu ya Mabomu na Vikundi vya Kigaidi, kwa kweli ndio tutawavuruga mpaka mjute kuzaliwa.
Hatupo tayari kukiachia kisiwa cha Zanzibar ambacho tulimnyang'anya Sultani kwa kumwaga Damu yetu.
 
United Arab emirates kwa ufupi Dubai ,huko muungano ni nchi saba ,na kila nchi ina raisi wake huitwa Hakim ,kwa mfano huanzia kwa Sheikh fulani bin fulani mkuu wa majeshi na hakim wa Shaja ,mfano ila hiyo Hakim ni kama Raisi wa hiyo Shaja Na zaidi ya wote ni Mkuu wa hiyo united arabuemirates ,sasa kusema hujaona inawezekana ila leo utakuwa umeona ,nenda kaguguli ,utupunguzie mzigo.

Eti KAGUGULI teheeee, I liked that. Google it!
 
Katika uwandikaji wa katiba mpya, Mategemeo yetu watanzania kupata katiba mpya ambayo itayaokuja na mfumo mpya wa muungano, ingawa katika rasimu imependekeza serikali tatu, bado rasimu hii ina mapungufu makubwa.

Kwanza nchi kuongozwa na marais watatu, naona mfumo huu sijawahi kuona ulimwenguni, na kama ipo nchi moja ambayo inaongozwa na marais watatu basi Jaji Warioba atueleze nchi gani hiyo, kwa maelezo yake katika utungaji amesema kwamba amechulia mifano ya nchi nyegine ambazo zimefanya marekebisho wa katiba zao au kuandika katiba mpya na ndio huko wameweza pia kupata muuongozo, jee suali huu utaratibu wa kuwa na marasi wanne umepatikanwa wapi ?

Mapendekezo yetu ni kwamba Serikali ya Muungano iyongozwe na Katibu Mkuu na sio raisi, ili kuweza kupewa nguvu zao Rais wa Zanzibar na Tanganyika.

Pili Mambo ya nje na uhamiaji na Uraia hivyo hivyo yangerudishwa kwa Nchi shirika za Muungano, Yaani Tanganyika na Zanzibar.

Tatu Suala la ulinzi na Bank kuu halikadhalika kurudishiwa katika washirika wa muungano kusimamiwana wao wenyewe,

Nawakilisha.

Acha bwana, inavyoelekea hujui mengi. Unajua kuwa Tanzania kuna Marais zaidi ya 30??....Kila Mkuu mkoa fulani(RC) hujiita Rais wa mkoa husika!!

Anyway, unatishwa na neno "Rais" tu ukweli ni kwamba kinachopaswa kukutisha ni mamlaka ya hao wanaoitwa Marais kwani unaweza kuwa na Rais jina tu kama alivyo Rais wa Zanzibar wa sasa, nenda kichwani utaelewa!!
 
Nasema "tena na tena" Kila MTU kivyake.

Bunge lake, dola yake, Sarafu yake, jeshi lake, Polis wake, mipaka yake, Bahari yake, bendera yake, Rais wake, Wazir Mkuu wake, Wabunge wake, Wawakilishi wake,Mabalozi wake, Paspoti yake,dhahabu yake, almasi yake, gesi yake, Tembo wake, Ardhi yake, Fukwe zake.

Kila MTU kivyake tumaliziane tuwe marafiki tuu wa kawaida kama nchi nyengine za jirani.

Tanzania haina historia ya suluhu ya Muungano huu kama ni viraka hakuna nafasi tena ya kuviweka
 
Kila MTU kivyake, na:

Viazi vyake, Umeme wake, Nyanya zake, karafuu zake.

Kila MTU kivyake na:

Rushwa yake, Utajiri wake, Umaskini wake,Hulka zake, Tabia zake, Uarabu wake, Uzungu wake.

Kila MTU kivyake na:

Na mseto wake, na biriani yake, Imani yake.

Let Zanzibar go Tumechooooookaaaaaaaaa...
 
United Arab emirates kwa ufupi Dubai ,huko muungano ni nchi saba ,na kila nchi ina raisi wake huitwa Hakim ,kwa mfano huanzia kwa Sheikh fulani bin fulani mkuu wa majeshi na hakim wa Shaja ,mfano ila hiyo Hakim ni kama Raisi wa hiyo Shaja Na zaidi ya wote ni Mkuu wa hiyo united arabuemirates ,sasa kusema hujaona inawezekana ila leo utakuwa umeona ,nenda kaguguli ,utupunguzie mzigo.

Kwanza mkuu kwani lazima mfumo flan uwe mahali fulani ndo nasi tuuinge hatuwezi kuwa na wa kwetu na wao wakainga? Mleta hoja ni zuzu
 
Back
Top Bottom