Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
Wakuu, Naamini wote mko poa kabisa ukiachia mambo fulani ya hapa na pale katika maisha! Kuna kitu sielewi elewi hapa kuhusu hawa marais watatu waliopendekezwa kwenye rasimu ya katiba. Nazungumzia kwa upande wa hizi foleni za barabarani zisizokuwa na maana kabisa pale tunapowekwa kwa foleni muda wa masaa kadhaa eti kusubiri au kupisha rais au makamu wake apite. Sasa wakiwa hawa wawili achilia mbali watatu (maana mwingine atakuwa Zenji ingawa anaweza kabisa kuja 'shopping' huku Tanganyika) si itakuwa shida na tutazidi kupata hasara barabarani kuwasubiri wapite? Maana ni hasara kubwa kukaa kwenye foleni huku appointment zako i.e interviews za kazi, business meetings, etc zikipotelea barabarani eti kupisha hawa jamaa? Swali hili laweza kuwa kama la kizushi vile lakini it is serious because these things are happening...!
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?
Rais Mkubwa atakaa DODOMA wa TANGANYIKA atakaa DARI SALAMA wa MDEBWEDO atakaa huko kwao!
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?
Usimwite mtanzania mwenzako kenge kisa katoa maoni yake kumbuka kila mtu Ana Haki ya kusema kile ambacho kinamkereketa .Binafsi naamini Lundo la Marais watatu ktk Nchi masikini inayotegemea pesa za wahisani kwenye bajeti yake sio njia sahihi ya kuharakisha maendeleo Bali ni kukaribisha Gharama kubwa kwa walipa kodi na kuzidisha foleni jijjini Dar huku muungano ukivunjika na zenji Kuwa nchi Jilani kwani serikari tatu lazima kutatokea mkanganyiko kwenye maamuzi ya kitaifa hususani mgao wa Mapato .
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?