Wanajamvi muukhali gani? Kuna swali ambalo najiuliza siku nyingi pasipokuwa na jibu, na sali lenyewe ni kuwa Zanzibar ishaongozwa na marais wangapi tangia apinduzi? Anaejua anijuze ikiwezekana na majina yao