AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
kama kichwa kisemavyo,katika pita pita yangu huko twitani na facebukini hata kule instagramuni sijaona Rais awaye yoyete ukiachia mbali Museven aliyempongeza bwana Uhurunye kwa kuibuka na ushindi wa kimbunga juzi,
Hata musseven mwenyewe amempongeza si kama rais wa uganda bali kama mwenyekiti a jumuiya.
wadau na wajuvi wadiplomasia hii imekaaje na inaleta picha gani kwa bwana uhurunyee na kenya yake juu ya viongozi wenzake wa EAC?