Marais wa Afrika Mashariki washindwa kumpongeza Uhuru Kenyatta

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
kama kichwa kisemavyo,katika pita pita yangu huko twitani na facebukini hata kule instagramuni sijaona Rais awaye yoyete ukiachia mbali Museven aliyempongeza bwana Uhurunye kwa kuibuka na ushindi wa kimbunga juzi,

Hata musseven mwenyewe amempongeza si kama rais wa uganda bali kama mwenyekiti a jumuiya.

wadau na wajuvi wadiplomasia hii imekaaje na inaleta picha gani kwa bwana uhurunyee na kenya yake juu ya viongozi wenzake wa EAC?
 
Nadhani kwa muktadha wa gazeti la mwananchi la leo (Tovuti yao yahusika) wote wamempongeza kasoro JPM na Nkurunzinza
 
Huko hakujulikani unaweza ukaponheza leo kesho ukaambiwa uchaguzi unarudiwa haukuwa huru na haki nafikiri nibora kusubiri kuliko kifanya kosa walilolifanya mara ya kwanza la kupongeza halafu unaaibika
 
Nadhani kwa muktadha wa gazeti la mwananchi la leo (Tovuti yao yahusika) wote wamempongeza kasoro JPM na Nkurunzinza

JPM atakuwa anaendelea kuedit jina la mshindi atakuwa aliweka salam yenye jina la rafiki yake wa familia . Hii inaitwa usiyemtarajia karudi tena
 
Back
Top Bottom