Marais wa Afrika Mashariki washindwa kumpongeza Uhuru Kenyatta

Washampongeza mwanzo inatosha angepita odinga wangempongeza kwanza sasa ivi mipakani wanapolana ng'ombe kwaiyo wanagubu la ugomvi
 
Hiki kitu kinachoitwa democrasia ni kiini macho..Hakuna mahali popote duniani kinafanyika kama kinavyonadiwa. Hata pale kinapoonekana kinafanikiwa ni sababu ya mfumo wa kiasili wa watu wa nchi husika. Nadhani Africa inapaswa kuja na mfumo mbadala unaotufaa wenyewe. Huu ni ukoloni mpya wa kisiasa unaoathiri sana uchumi,utamaduni, na uhusiano baina ya wananchi wa nchi husika. Ni kitanzi kila baada ya miaka minne.
 
You can’t rig election more than once and survive, Kenyans are not fools to accept it and move on. This time he has been caught ready handed. Wait for evidence, you will be shocked..
Am not even close to being Kenyan so I can not argue.
But if I was a Kenyan, based on all the follow ups I hhave been making since the campaigns was definately gonna vote for Uhuru.
But as the saying goes, don't judge the book by its cover... let Kenyans fight their own battles.
 
Rais Uhuru Kenyatta alishapongezwa baada ya uchaguzi wa 8th August.
 
Watampongeza tu. Magufuli alipokuwa anatoa vyeti kwa wanakamati ya Makinikia. Alizungumza njinsi alivyojywa akizungumza na Rais Fulani wakazungumzia katiba Na mahakama. Akamwambia nikatibayenu ndio maana aujahapishwa. Asubiri tu. Tukajua alikuwa anachat na Uhuru.
 
Hata wakiacha Mimi ninachofahamu kamgaragaza Jaluo! Na ndiye president elect wa Kenya!
 
Kenyatta is wonderful, a good natured and is likeable, but he is not a good leader. He is a president of Kenya because he is Kenyatta’s son, otherwise Kenyans deserve Better than Kenyatta and his aggressive and corrupt partner Ruto.
 
Back
Top Bottom