Marais Museveni na Kenyatta waishangaa Tanzania

Marais Museveni na Kenyatta waishangaa Tanzania

Wenzetu si AWATU WA KULALAMIKA! Ni watu wa vitendo zaidi. Siye twakalia kukenua meno bila kufanya kazi..... Tumezoea bora liende na uongo mwingi. Hatuoni hata tofauti ya maendeleo yao nasi? Kila kitu twaweza kujifunza kwao! Sisi tuko bize na starehe na kuponda mali!
 
Yaani mazungumzo yao hayatuhusu alaf ya kwetu yana wahusu M7 vip unavyurugwa na nani? alafu nilicho kiona hapa M7 anajifanya ndo kiranja yaan Babalao mmesha chemka kwa kujitenga sasa TZ tuna sababu nzuri yakuwatosa nayo ni kujibagua (wametutenga,hawatutaki,wabaguzi,wanatamaa nk.).......Viongozi wetu lets play our game very smart ili baadae wasije jisifu na muungano wao.
 
Kipindi cha vita vya Kagera, M7 alikuwa anavaa mahirizi mengi hasa shingoni na mikononi na miguuni, ilikuwa sio siri tena, mahirizi yalionekana waziwazi. Kwa hakika ulikuwa ni ushirikina/uchawi mtupu ule. Bila shaka imani hii bado inamtafuna mpaka leo.
Anacho kifanya M7 hivi sasa ni kama ushirikina tu ndani ya EAC, akiwa na wapasua nazi wa Kitusi.
 
Wenzetu si AWATU WA KULALAMIKA! Ni watu wa vitendo zaidi. Siye twakalia kukenua meno bila kufanya kazi..... Tumezoea bora liende na uongo mwingi. Hatuoni hata tofauti ya maendeleo yao nasi? Kila kitu twaweza kujifunza kwao! Sisi tuko bize na starehe na kuponda mali!
Si uhamie huko mkuu ambako "si AWATU WA KULALAMIKA" na utuache sisi wakenua meno tuendelee kukenua na Ardhi yetu,Madini yetu,Mlima Kilimanjaro wetu,Gesi yetu na mengineyo yetu. Hama kimya kimya tu mkuu.

Kipindi cha vita vya Kagera, M7 alikuwa anavaa mahirizi mengi hasa shingoni na mikononi na miguuni, ilikuwa sio siri tena, mahirizi yalionekana waziwazi. Kwa hakika ulikuwa ni ushirikina/uchawi mtupu ule. Bila shaka imani hii bado inamtafuna mpaka leo.
Anacho kifanya M7 hivi sasa ni kama ushirikina tu ndani ya EAC, akiwa na wapasua nazi wa Kitusi.
Hii imeletwa kwetu kwa HISANI YA WATU WA WAPI MKUU? Ukitupiamo tupicha twa Huyo Tata Nyang'au utakuwa umefanya la maana.
 
Tunawachelewesha wenzetu kimaendeleo, Ngoja waonyeshe njia tutaifuata.
 
Inatubidi tuwe makini. Leo nipo kwenye Kongamano la vijana la EAC hapa kampala ila hata hapa, nimefika kwenye eno na bendera yetu haipo kwenye meza.. mpaka nimeuliza na kuwaambia waiweke... Nadhani inatubidi tuwe makini na tunachojiingiza. Nafurahi kuwa matatizo kama haya ya kujitenga yameanza kutokea kabla ya kusaini makubaliano kwasababu ni wazi sasa kwamba kuna watu wanataka kuwaisha mjadala huu kwa manufaa yao binafsi.. Maraisi hao wanataka kufanya chini juu kupata madaraka... Lets take our time... to study this...
 
Nadhani hapa hujaelewa. Hatuwacheleshi, si hatupo kwenye ukanda wa juu... kwaiyo kwenye ukanda wa chini tupo sisi na burundi tu.. EAC imeishatengwa tu kwa maneno haya..
 
Kama kweli Museveni kasema hivyo basi ana akili za kitoto na anazeeka vibaya. Ina maana mazungumzo ya EAC kuhusu kanda ya kaskazini Tanzania haipaswi kushiriki? Na hayo mazungumzo ya kanda ya kusini yatakapoanza ni nchi gani za EAC zitashiriki, au Kenya Uganda na Rwanda hawatashiriki kwa sababu siyo kanda yao?

Museveni tumemlea huyu, leo unatufanya sie hamnazo sana?
Alitaka kuwa rais wa kwanza wa EAC naona umri unamkanga keshaona hatoweza tena nafasi hiyo ndio maana ya visa vyote kwa wadogo zake!
 
Kimsingi wanapigania maendeleo ya nchi zao

They are 100% right sisi wacha tuendelee na siasa zetu alizotufunza mwalimu nyerere.....na Majungu na kufuatilia maisha ya Mtu binafsi tumekaa ki***nge sana
 
sisi bwana kwenda hatuendi kurudi haturudi tupo tu kutwa tunatoa matamko na kuitisha press conference ...kweli sie tumelogwa
 
Mseveni anataka kuwa rais wa kwanza wa eac anahaha kweli.
 
Acha wajitenge kwanza wao ni maskini kama sisi,cha msingi tuungane na China na Marekani
 
Maamuzi magumu yanahitajika
Kwa mara ya pili tujitoe EA na tu concentrate na biashara ya Kongo.
Haipiti miaka mitano na watspiga magoti mpakani.
 
kweli waTZ ni wepesi sana wa kusahau hivi hamkumbuki kuwa kiherehere cha viongozi na wanasiasa wa tanzania ndio chanzo cha yote, makufuli na wenzake kumpigia kampeni odinga na uzaifu wetu ktk uwezo wa kujiamini kuwa 2naweza bila wanzungu pia inachangia (maraisi wa rwanda uganda na kenya wana2mia watu wao kufanya maendeleo sisi 2mengángánia wazungu na wachina) ni upuuzu 2tapiga kelele sana na huo muungano mnaoutaka na kongo mmechelewa wenzenu walisha ota mizizi huko kongo.base zao ziko toka kitambo wanajizolea madini kwa mtaalamu wa historia nazani amenielewa....ni hayo 2 wanajavi@babu chorachoro
 
Back
Top Bottom