Marafiki
<br / wapo lakini ni vigumu kuwapata that,s why hapa ni sehemu pekee
wewe utakuwa una matatizo kama ni vigumu kupata marafiki mtaani kwenu.
mamkwe hebu tupia namba yako hapa tubadilishane mawazo. Mawazo yangu yameeksipaya.
hautaki ya bamkwe!
wewe utakuwa una matatizo kama ni vigumu kupata marafiki mtaani kwenu.
<br / sina tatizo hata kidogo naamka saa kumi na moja kila siku kwenda kazini na kurudi saa nne usiku niambie hao marafiki nitawapata wapi?
kazi gani inakunyima muda wa kushirikiana na jamii. Bora ukachome mkaa.
Similar Discussions
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…