Marafiki zetu mtusamehe sana

Marafiki zetu mtusamehe sana

dada, yule Ex akati anajifanya kutaka turudiane, nilimjibu simple tyuuh.

"Wee kiumbe wa watu usinilazimishee niende Jelaa, jinaii niliyonayo inatoshaa, hii ya mauaji siihitaji"

hajarudiaa tenaa.
😄😄😄Nimecheka....

Kwanza hata muda wa kuzungumza naye yote hayo umeupata wapi?
 
Kwanza nichekeee!!

Kwa kifupiii tyuuh, nilijitoa kwake kwa hali na mali, nilijinyima mie ili yeye afurahii na ahisi anapendwaa, ila alichokujaa kunifanyiaa!!!

Baas itoshe kusemaa, mjanja yeye.
pole sana,ujue wanadamu tunatofautiana alafu wengine unapijitoa kwao wanadhani unajipendekeza kumbe ni kujali na watu wa aina hyo wapo katika jamii kikubwa ni umeshamuepuka tizama mbele,ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom