Marafiki wengine mimi nawablock sasa!

ha ha ha!! ukimblock hujatatua tatizo mpe nondo za maana atakaa fresh and he will be a good friend
 
Ccm tu whether you like or you don't like.

Upinzani tena wa akina lipumber na mbower hautashika dola leo au kesho. Labda baada ya miaka 1,000,000,000 ijayo.
 
Wakuu...

Hivi kwa hali ya sasa hivi ilivyongumu..X mas tunaisikia redioni tuu na matangazo kwenye Tv...

Afu una rafiki yako yako ndo kwanza anawaza kupiga kura kwa wale jamaa zetu 2020...

Mimi namblock huyu wakuu...
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…