Kwani we ndo salama yule eeh?!!
Thnx alot.!Pole sana mdogo wangu, nakumbuka post yako ya kutafuta mchumba.Kama Mungu amepanga awe wako atakuwa na kama hakupanga hivyo, usikate tamaa.Vumilia utapata
Kama kweli ulimpenda kwa nini ufikirie kwenda kwa mganga kumloga, anyway, pole lakini umejifunza kitu.
Habari za kazi wana JF..nakumbuka kuna kipindi nilipost nahitaji mume..baada ya mda kweli nikapata mtu tukaelewana vizuri sana..nilimpenda nae alinipenda i could feel the love between us..ikafika ata akanipeleka kwa ndugu zake kunitambulisha.!cha ajabu ni kwamba ndugu zake walinichukia bila sababu..kuna wengine ata sikuonana nao wakaanza kunishushia matusi!kiukweli nilijisikia vibaya ila nilivumilia coz mpenzi alinipenda kwa dhati..kibaya zaidi wakaanza kumuhusisha na mtoto wa jamaa!mpka jamaa alikua kwenye hati hati za kuniacha..apo ndo nilichanganyikiwa nikaanza kuomba ushauri kwa marafiki..kuna mmoja wa marafiki zangu alinishauri twende kwa mganga..kiukweli niliwaza kufanya hcho kitu coz i was desparate,ila nilishangaa zaidi rafiki yangu yule kunishauri hvyo..so nikawa naendelea kumdadisi rafiki yangu yule nione mwsho wake..!kwakua mpenzi alikua na uhuru wa simu yangu akakutana na zile message..nimejaribu kuomba msamaha ila kagoma..kiukweli ninampenda kwa dhati na nipo so sad coz tulikua tumepanga mambo mengi wa maendeleo..
Ushauri kwa wadada wenzangu:kua makini na marafiki zako na usimruhusu shetani kutawala fikra zako.!
Kwa X wangu;najua tu utasoma hii post.!i wsh you all the best na upate mtu atakayekupenda zaidi ya mim..ila usiruhusu ndugu kukuingilia kiasi hcho..
X wangu alikua hana tatzo kabsa..infact nampongeza kwa kua ni mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa dhati..kosa ni kwangu kuwaza kufanya hayo mambo baada ya kushauriwa..nimeweka kitu hiki public kwa nia ya kutubu kwa mwenyezi mungu..na naamini nitasamehewa.!
Kwa hiyo utaweka Uzi mwingine wa kutafuta mume?!Habari za kazi wana JF..nakumbuka kuna kipindi nilipost nahitaji mume..baada ya mda kweli nikapata mtu tukaelewana vizuri sana..nilimpenda nae alinipenda i could feel the love between us..ikafika ata akanipeleka kwa ndugu zake kunitambulisha.!cha ajabu ni kwamba ndugu zake walinichukia bila sababu..kuna wengine ata sikuonana nao wakaanza kunishushia matusi!kiukweli nilijisikia vibaya ila nilivumilia coz mpenzi alinipenda kwa dhati..kibaya zaidi wakaanza kumuhusisha na mtoto wa jamaa!mpka jamaa alikua kwenye hati hati za kuniacha..apo ndo nilichanganyikiwa nikaanza kuomba ushauri kwa marafiki..kuna mmoja wa marafiki zangu alinishauri twende kwa mganga..kiukweli niliwaza kufanya hcho kitu coz i was desparate,ila nilishangaa zaidi rafiki yangu yule kunishauri hvyo..so nikawa naendelea kumdadisi rafiki yangu yule nione mwsho wake..!kwakua mpenzi alikua na uhuru wa simu yangu akakutana na zile message..nimejaribu kuomba msamaha ila kagoma..kiukweli ninampenda kwa dhati na nipo so sad coz tulikua tumepanga mambo mengi wa maendeleo..
Ushauri kwa wadada wenzangu:kua makini na marafiki zako na usimruhusu shetani kutawala fikra zako.!
Kwa X wangu;najua tu utasoma hii post.!i wsh you all the best na upate mtu atakayekupenda zaidi ya mim..ila usiruhusu ndugu kukuingilia kiasi hcho..