FLAVOR
Senior Member
- Jun 13, 2012
- 138
- 49
Mimi sikuhizi sina marafiki, sijui ni sababu ya familia ama mtindo wa maisha, sasabasi natafuta marafiki ambao tutaanza kuwasiliana kwa whatsapp 0683157704. True friends jamani, hasa wakina mama 🙂 na wakina dada 🙂, wababa wenye kujitambua ambao tutakaa na kujadili mambo muhimu ya maisha, na kupanga na kufanikisha mambo yetu, siyo kujadili yasiyohusu. Umri wa wahusika haijalishi ila nahisi ni vyema kuanzisha ka group ketu ka whatsapp. Vijana wadogo la, mimi nina 37, married, and very positive, nakunywa kidogo, nasoma vitabu pia na napendelea movies ni mfanyabiashara.
Nicheki tuone tunakutana wapi wikiendi, vinywaji kila mtu anajilipia na msosi pia 🙂
Nicheki tuone tunakutana wapi wikiendi, vinywaji kila mtu anajilipia na msosi pia 🙂