Ni kweli mkuu ndio maana hata vitabu vya dini mahala vinasema mpende jirani Yako kama nafasi Yako!Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Japo sio wote.Ndugu ni washenzi tu.
Karibu umekuwa Mnyakyu...Ndugu wa kipare na kisambaa lazima aku... ndio akusikilize.
Nimehama kabila kwa sababu hiyo
Rafiki hawezi play part zote ktk maisha, bt kwa part wanayoplay wamekua mkombozi kwa wengi.Marafiki wanasolve issue za Maokoto subiri uwaze kuharisha utaona Kama kuna rafiki atasifsha uharo wako....
Usidanganyike ndugu atabaki kuwa nduguSalaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Kubadilika ni jambo la kawaida bt hapa nimewasifia wanavyojitolea kusaidia hasa kwenye mambo ya utaftaji.Punguza matarajio mkuu,kila mtu ana hali anayoipitia na hana majibu,usiweke imani na nguvu zako kwa binaadam, maana wao hubadilika pasipo taarifa.
Ni kweli ndugu atabaki kua ndugu bt part wanayoplay marafiki ndo inajenga future za wengi wetu.Usidanganyike ndugu atabaki kuwa ndugu
Uko sahihi mkuu,mfano Mimi mjomba wangu alitaka nimsaidie biashara zake,kweli tumeenda miaka4 siioni Faida kwangu,mbali tuu na kupata uzoefu na kula.Nikajiongeza kusoma C.B.E _Dodoma huko nikakutana na jamaa anafanya kazi kampuni flani nzuri Katika kuzoeana akawa rafiki yangu mkubwa!Kazi zikatoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa Mimi Ahsante rafiki,Sasa Nina wajukuu.Kubadilika ni jambo la kawaida bt hapa nimewasifia wanavyojitolea kusaidia hasa kwenye mambo ya utaftaji.
Hii nayo ina shida!ndugu zetu ni marafiki wa watu wengine ko wanawasaidia pia
hata sisi ni ndugu wa nduguzetu ko tuna tabia za kibwege pia
ndugu atabaki kuwa ndugu hasa kwenye nyakati ngumu mno za magonjwa na vifo
marafiki wapo kwa nyakati za raha na vishida vidogo vidogo, wenye husimama na wewe kwenye shida kubwa ni wale marafiki ambao tumesha kuwa ndugu nao.
Tabia ya binadamu tunaona pesa ndio kila kitu Kuliko utu...🐒Rafiki hawezi play part zote ktk maisha, bt kwa part wanayoplay wamekua mkombozi kwa wengi.