Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Ule mkia wake una aleji na shahawa za mwanaume ambazo anaihisi kwa njia ya upepo ambapo huwa anahisi kama sumu inamtembea sasa namna ya kuitoa ndio anajaribu kumpiga kwa mkia na hapo ikikutana na mishipa ya damu ya kwenda huku basi inaidhoofisha na fimbo ya Musa haisimami.Aisee mkuu pastor,hao jamaa huko mjini wametokea wapi tena?Si wanasemaga ni viumbe hatari hao,hasa kwa jinsia ya 'me',eti akikuchapa na mkia wake unakua khanithi.Ni ya kweli haya mkuu?
mkuu majibu mujarabu. U made my night!!Ule mkia wake una aleji na shahawa za mwanaume ambazo anaihisi kwa njia ya upepo ambapo huwa anahisi kama sumu inamtembea sasa namna ya kuitoa ndio anajaribu kumpiga kwa mkia na hapo ikikutana na mishipa ya damu ya kwenda huku basi inaidhoofisha na fimbo ya Musa haisimami.
Huwa wanakuja mjini kusalimia na kushangaa mazingira
Duu kama wale washkaji wawili mkubwa sana na Mdogo
Binadamu haoAisee mkuu pastor,hao jamaa huko mjini wametokea wapi tena?Si wanasemaga ni viumbe hatari hao,hasa kwa jinsia ya 'me',eti akikuchapa na mkia wake unakua khanithi.Ni ya kweli haya mkuu?