Marafiki Walalamishi

BlackBerry

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
1,839
956
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona hukuniambia tununue wote, ukipanga kusafiri for holiday maybe na bf wako atakwambia mbona hujanambia mapema na mi ningemwambia wangu twende, ukienda mahala bila kumwambia atakupigia simu kulalamika siku hizi unamtenga,Hiini haliya kawaida? nampenda rafiki yangu ila tabia ya kulalamika inaniboa sana, na wewe ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii, ni kawaida au kuna kawivu??
 
Mazoea hujenga tabia.
Inawezekana tangu kabla hamjapata ma-bf mlikuwa mnatoka pamoja. Sasa haya mazoea yamehamia hadi wakati mkiwa na ma-bf.
Kwani yeye hawezi kupanga outing zake na bf wake??
 
Ni hali ya kawaida, marafiki wengine wanapenda kujua kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yako, na ikitokea kasikia kwingine atakasirika kama vile umemcheat, mie pia nina marafiki wa ainahiyo ila huyu wako kazidi mipaka, kaa nae chini umweleze kwamba hiyo tabia yake huipendi, kupoteza rafiki yako mnaeheshimiana kwa sababu ya hili sioni kama jambo la busara
 
Mi nashangaa sana yaani tatizo lake ni hilo tu mambo mengine ni rafiki mzuri sana, huwa anaenda out na bf wake
 
Ni hali ya kawaida, marafiki wengine wanapenda kujua kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yako, na ikitokea kasikia kwingine atakasirika kama vile umemcheat, mie pia nina marafiki wa ainahiyo ila huyu wako kazidi mipaka, kaa nae chini umweleze kwamba hiyo tabia yake huipendi, kupoteza rafiki yako mnaeheshimiana kwa sababu ya hili sioni kama jambo la busara
Ni wazo zuri sana Gaga talifanyia kazi
 
Huyo anafeel secured anapokuwa na wewe, cha kufanya toka naye ukiwa na bf wako halafu kuwa benet sana na bf wako, na yeye ataona umuhimu wa kuambatana na wake.
 
kiukweli mambo hayo yapo hasa marafiki mlioshibana unajihisi unahusika katika maisha ya uyo rafiki yako kwa kiasi kikubwa.
mi pia nina rafiki yangu kama hajawasiliana na mm huwa nahis kuwa ndo kanitenga na huwa na mlalamikia ile mbaya
 
But urafiki kama huo huwa unanoga kwa watu ambao wote single au wote wapo relationship.
yaani urafiki wa wewe upo relatioship na yeye single au wewe single yeye yupo relationship ni ishu maana mlipokuwa single mnashare mda,sasa ukiwa relationship we mda mwingine utakuwa na mpenz wako kuliko yeye na lazima atalalamika tu.
 
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona hukuniambia tununue wote, ukipanga kusafiri for holiday maybe na bf wako atakwambia mbona hujanambia mapema na mi ningemwambia wangu twende, ukienda mahala bila kumwambia atakupigia simu kulalamika siku hizi unamtenga,Hiini haliya kawaida? nampenda rafiki yangu ila tabia ya kulalamika inaniboa sana, na wewe ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii, ni kawaida au kuna kawivu??

Mpige chini haraka sana huyo.....halafu watu haoi wanalalamika hadi kitandani, nawapenda sana....
 
kiukweli mambo hayo yapo hasa marafiki mlioshibana unajihisi unahusika katika maisha ya uyo rafiki yako kwa kiasi kikubwa.
mi pia nina rafiki yangu kama hajawasiliana na mm huwa nahis kuwa ndo kanitenga na huwa na mlalamikia ile mbaya
Mie mbona inaniboa hii? au ndio mimi sio rafiki wa kweli
 
Mh huyo rafiki anakutakia nini? mie urafiki wa hivo kamwe dsiuwezi, ndio wale mashost aliowasema The boss kwenye thread yake, wanaweza kukuingilia hadi nguoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom