The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Rafiki yako alikuwa muungwana sana wengine wanakula buyu tu next time wanakutana tena mamabo yanaanza kudevelop the next thing you know ni kuanza kusikia stori mbona rafiki yako tunamuona na mumeo sana vipi kulikoni mwanamke unaanza kuhahalabda mie nina hofu pia, yaani niwe nae tu bila kukujulisha nadhani nitakata network hata tulichokutania na huyo mpenzi wako ntakisahau, ntakuwa na amani zaidi nikiwa najua unajau...mf ni kama cku moja frnd wangu alikuwa na ishu fulani na mr, na ni mtu anaemtegemea kumsaidia kutatua hiyo ishu, alinical kunieleza na kwa bahati nzuri mr alikuwa anaenda arusha/moshi kikazi, walikutana na walopokuwa wamekutana tu frnd wangu alisahnitumia sms nipo na shemeji hapa kindoroko ndio tunaanza maongezi, hapo mr yeye alikuja kuniambia maucku huko ameshalala kwamba nilikuwa na Lizzy kwenye ile ishu yake niliyoomba nimsaidie, nimemsaidia hivi na vile, unaona utofauti hapo Lizzy, mwanaume alichukulia ni maongezi na najua kutakuwa na maongezi hana haja ya kuniambia ndio naenda kuonana na fulani, but frnd aliona ni lazima kunijulisha kila point, tunaanza/tumemaliza/tumeshatawanyika....
Hapo kwenye red mkubwa, kama anao wengi atatambulisha wangapi? Ukiona rafiki, mpenzi, mchumba, mume hakutambulishi kwa watu tena akiwa na furaha jua huna binadamu hapo!!!! It is straight forward na kama ni rafiki, mpenzi au mchumba basi fikiria kwa undani mahusiano yenu, it means hakuthamini, he/she does not feel proud akiwa na wewe, you are nothing, pengine anakutumia tu kwa maslahi fulani, but you are no body. Feel proud to introduce!!!!
rafiki yako alikuwa muungwana sana wengine wanakula buyu tu next time wanakutana tena mamabo yanaanza kudevelop the next thing you know ni kuanza kusikia stori mbona rafiki yako tunamuona na mumeo sana vipi kulikoni mwanamke unaanza kuhaha
Kweli Mkuu...Wordhalafu kuwa muwazi haaimanishi watu wapo innocents...
Watu wanaweza kuwa wa wazi but still wana mambo yao...
halafu kuwa muwazi haaimanishi watu wapo innocents...
Watu wanaweza kuwa wa wazi but still wana mambo yao...
Mwanamke mwenzenu huyo amesema yote na mlisikie alisemalo!!Wanawake walio wengi ni WANAFIKI at the same time NYOKA; nina kila sababu ya kusema hivi. Hata kwenye biblia inaonyesha, pale nyoka alipomdanganya Eve na kusababisha maafa. Tulio wengi tukitambulishwa kwa mabwana/waume zetu ki unafiki unataka kufanya mazoea ya kuwa karibu na bwana wa mwenzako kwa misingi gani? Na wewe mwanamke uliyefundwa/kama si elimika unachukua namba ya nini ya bwana wa mwenzako wakati GF/wife wake ni rafikio? Hapo ndiyo shughuli inapoanza.
Kudanganyika kwa mwanamke ni rahisi sana,si tulio kwenye ndoa na tulio nje ya ndoa akili yetu ukiiweka kwenye mzani ni sawa. Sasa basi kama huna hofu ya Mungu unakuta umemnyang'anya rafikio kipenzi bwanake, kibaya zaidi ni tamaa za mwili tu, had nothing to do with you. Na wanaume walivyowanchonganishi akishamvua nguo anakipa anawaacha mnalumbana kivyenu.
Ninachoshauri kama mwanamke niliyeona mauzauza mengi ni ifuatavyo; unapotambulishwa kwa bwana wa mwenzio huna ruksa kuchukua namba ya simu au contact zake kwa sababu bado uko na rafikio kama kuna msaada unataka basi mtumie aliyekutambulisha ambaye ni rafikio. Next muwe na hofu ya Mungu, waaminifu kwa wenza wenu, hata kama una njaa zako za kuolewa siyo kwa bwana wa mwenzako.
Mungu awatie nguvu wanawake wote wa JF, muwe wa kuigwa. AMEN
khe khe khe hapa ungebinua meza nini?huo ni ukweli mtupu but hapa czungumzii kama ninawahic/wana ammbo mabaya kwenye maongezi waliokuwa nayo, nayajua so pale kilichokuwa kinahitajika ni msaada wa mr tu, kuliko nawakuta wapo hapo ndio waanze kunirukia na mashairi yao,ingekuwa habari nyingine tofauti kabisa.
Naona Thanks imepotea tena!!
Mhhh nakubaliana na wewe linapokuja swala la mimi kutambulishwa hata kama sitauliza ila ntajiuliza maswali mengi.Ila nikifikiria kwamba mimi mimi huyu ndo mgumu wa kutambulisha wenzangu bila kua na sababu ya msingi inabidi niishie kusema kwamba sio wote wanafanya hivyo kwa kutothamini ...kupenda kweli au kua proud!!!
Wanawake walio wengi ni WANAFIKI at the same time NYOKA; nina kila sababu ya kusema hivi. Hata kwenye biblia inaonyesha, pale nyoka alipomdanganya Eve na kusababisha maafa. Tulio wengi tukitambulishwa kwa mabwana/waume zetu ki unafiki unataka kufanya mazoea ya kuwa karibu na bwana wa mwenzako kwa misingi gani? Na wewe mwanamke uliyefundwa/kama si elimika unachukua namba ya nini ya bwana wa mwenzako wakati GF/wife wake ni rafikio? Hapo ndiyo shughuli inapoanza.
Kudanganyika kwa mwanamke ni rahisi sana,si tulio kwenye ndoa na tulio nje ya ndoa akili yetu ukiiweka kwenye mzani ni sawa. Sasa basi kama huna hofu ya Mungu unakuta umemnyang'anya rafikio kipenzi bwanake, kibaya zaidi ni tamaa za mwili tu, had nothing to do with you. Na wanaume walivyowanchonganishi akishamvua nguo anakipa anawaacha mnalumbana kivyenu.
Ninachoshauri kama mwanamke niliyeona mauzauza mengi ni ifuatavyo; unapotambulishwa kwa bwana wa mwenzio huna ruksa kuchukua namba ya simu au contact zake kwa sababu bado uko na rafikio kama kuna msaada unataka basi mtumie aliyekutambulisha ambaye ni rafikio. Next muwe na hofu ya Mungu, waaminifu kwa wenza wenu, hata kama una njaa zako za kuolewa siyo kwa bwana wa mwenzako.
Mungu awatie nguvu wanawake wote wa JF, muwe wa kuigwa. AMEN
Eti eheee Chauro bora nusu shari...Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.
Naona wakati mwingine bora mtu asikutambulishe uelewe hakuona umuhimu,ishanikuta nimetambulishwa ,na binti kwa kasi ya ajabu akataka urafiki na kunizoea kwa nguvu ilinichukua mwezi miaka kuelewa nilichokuwa sikijui.
Dah!! Wale marafiki zako ambao huwa wanakuja home
bora uwe addicted na JF,kuliko kuwa addicted na :bange: kama mimi.....l.o.l.....mimi sijambo mkuu!ha ha ha ha haaa addiction zingine we acha tu, habari yako binafsi niaje?
yaani jamani...pole Chauro, mie mr anajuaga kabisa habari za kufika ofcn kwake na oohh haaa huyu secretary czitakagi, kusanifiana tu, umeenda pale watu wanakuchora tu mwenyewe na majidai yako mr mr...my foot, kumbe ujui nyuma ya pazia....haya mambo yanakera jamani.
Eti eheee Chauro bora nusu shari...