Marafiki wa kike wa kuchat nao wanaitajika

fahad clay

Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
35
Reaction score
2
Naitwa fahad na katika chitchat ni mgeni.Mi nlikua natafuta marafiki wakike wa kuchat nao nje ya Jf ili tubadilishane mawazo.Sibagui dini,umri,kabila wala rangi.Nyote mnakaribishwa na aliyekua tayari ani-PM kwa mawasiliano zaidi.
 
teh..! teh..! mi mvulana na msichana vile vile,utanikubali?
 
nina rafiki yangu msomali anaitwa Fahad.....ni wewe...?
long tym maaaaaan.....how is you.....?
 
aluaalualuuuuuuu narudi mume wangu.... ndoa tamu ndoa ina raha yake kuwa mke wa Asprin raha mwanaume anajua shughuli, anajua wajibu wake, mpole mwenye kusamehe....wenye wivu wajinyonge mwaaaaaaaaaaah my hubby

Kwa kauli hii, naichana ile talaka. Rudi nyumbani mke wangu. Mke wa ujana wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kuhimili vishindo vya babu!

aluaalualuuuuuuu narudi mume wangu.... ndoa tamu ndoa ina raha yake kuwa mke wa Asprin raha mwanaume anajua shughuli, anajua wajibu wake, mpole mwenye kusamehe....wenye wivu wajinyonge mwaaaaaaaaaaah my hubby
 
Last edited by a moderator:
Naitwa fahad na katika chitchat ni mgeni.Mi nlikua natafuta marafiki wakike wa kuchat nao nje ya Jf ili tubadilishane mawazo.Sibagui dini,umri,kabila wala rangi.Nyote mnakaribishwa na aliyekua tayari ani-PM kwa mawasiliano zaidi.

Umepima lkn??!! Wadada wa huku ni HIV fliii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom