Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
Tutakua tunaandikiana barua na kutumiana postikadi ama vipi???
Jinsia yako mkuuEnzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k
Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki waaminifu na wa kudumu ndani na nje ya nchi, wengine hadi leo tunawasiliana na wengine tulifanikiwa kutembeleana na kuwajua wazazi na ndugu zao n.k
Nakaribisha marafiki wapya wa kalamu;
-wawe wanapenda kujisomea
-wawe wanapenda kuwasiliana na kujadiliana.
-wawe wastaarabu wanaojiheshimu wenye lugha za stara na kujua mipaka ya urafiki wa kalamu.
-Wanaweza kutokea popote ulimwenguni ila itapendeza kama wanajua vema kiswahili/kiingereza au vyote.
KARIBUNI.
Jinsia yako mkuu
Asante sis [emoji1545]Mimi ni ke. Ila jinsia hazina uhusika wowote kwenye hili zoezi
Kama uliwahi kuwa na marafiki wa kalamu basi wewe ni miongoni mwa msiozidi 30% ya kizazi kile mlio hai. Mrudishie Mungu sifa.Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k.
Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki waaminifu na wa kudumu ndani na nje ya nchi, wengine hadi leo tunawasiliana na wengine tulifanikiwa kutembeleana na kuwajua wazazi na ndugu zao n.k.
Nakaribisha marafiki wapya wa kalamu;
- Wawe wanapenda kujisomea.
- Wawe wanapenda kuwasiliana na kujadiliana.
- Wawe wastaarabu wanaojiheshimu wenye lugha za stara na kujua mipaka ya urafiki wa kalamu.
- Wanaweza kutokea popote ulimwenguni ila itapendeza kama wanajua vema kiswahili/kiingereza au vyote.
KARIBUNI.
Ha haa umenikumbusha mbaali, mwaka 1976 nilikuwa naye mmoja kutoka Seychelles na watatu kutoka UK.Kama uliwahi kuwa na marafiki wa kalamu basi wewe ni miongoni mwa msiozidi 30% ya kizazi kile mlio hai. Mrudishie Mungu sifa.
Pen friend[emoji16][emoji16][emoji16]Wazungu sikuizi hawataki urafiki.Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k.
Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki waaminifu na wa kudumu ndani na nje ya nchi, wengine hadi leo tunawasiliana na wengine tulifanikiwa kutembeleana na kuwajua wazazi na ndugu zao n.k.
Nakaribisha marafiki wapya wa kalamu;
- Wawe wanapenda kujisomea.
- Wawe wanapenda kuwasiliana na kujadiliana.
- Wawe wastaarabu wanaojiheshimu wenye lugha za stara na kujua mipaka ya urafiki wa kalamu.
- Wanaweza kutokea popote ulimwenguni ila itapendeza kama wanajua vema kiswahili/kiingereza au vyote.
KARIBUNI.
Dah; mwaka 76 una pen pals? Hongera bitimkongwe. Maza angu ndio alikuwa anachumbiwa nikijaribu kupiga hesabu.Ha haa umenikumbusha mbaali, mwaka 1976 nilikuwa naye mmoja kutoka Seychelles na watatu kutoka UK.
Enzi zile unaota kwenda Ulaya kwa nguvu zote, unaona picha kwenye magazeti tu.
Nilikuwa pia na picha za watangazaji wa BBC enzi zile akina Zeyana Seif, Suleman Malik (siwakumbuki wengine). Ilikuwa unaandika barua BBC kuomba uanachama wa BBC swahii club unaletewa poster ina picha za watangazaji.
Actually hayo ndio yamezaa facebook, whatsapp, instagram, etc. Enzi za analogue zimepita.Pen friend[emoji16][emoji16][emoji16]Wazungu sikuizi hawataki urafiki.
Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya, mimi siko tafauti kubwa kiumri na mama yakoDah; mwaka 76 una pen pals? Hongera bitimkongwe. Maza angu ndio alikuwa anachumbiwa nikijaribu kupiga hesabu.