East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Ziara za viongozi wa CHADEMA nje ya nchi huwa ni Kwa wazungu tu.Swali hawana marafiki nchi za kiafrika WA KWENDA KUWATEMBELEA?

Ingekuwa vema kama ungetuwekea mahesabu kamili ya Ziara za Kikwete kati ya hizo 400 ni ngapi alikwenda kutembelea nchi za Africa na Ngapi alitembelea Wazungu nikimaanisha USA na nchi za Ulaya na ngapi alitembelea China. baada ya hapo uorodheshe za viongozi wa CDM halafu uje na jibu ni chama kipi kinatembelea sana WAZUNGU.
Safari zaidi ya 400 zote za kiserikali?Tofautisha ziara za kiserikali na za kichama.Raisi akisafiri anasafiri kiserikali si kichama.Ninachouliza ni ziara za kichama za CHADEMA mbona nyingi kwa wazungu tofauti na CCM?
Wewe wasema uhuru wa mawazo lakini tutaheshimiana tu huko tunako enda....For your information Chadema leaders are puppets if you don't know..!! Hawana cha kutusaidia zaidi ya Ku corrupt innocent minds
For your information Chadema leaders are puppets if you don't know..!! Hawana cha kutusaidia zaidi ya Ku corrupt innocent minds
Tofautisha ziara za kiserikali na za kichama.Raisi akisafiri anasafiri kiserikali si kichama.Ninachouliza ni ziara za kichama za CHADEMA mbona nyingi kwa wazungu tofauti na CCM?
Ziara za viongozi wa CHADEMA nje ya nchi huwa ni Kwa wazungu tu.Swali hawana marafiki nchi za kiafrika WA KWENDA KUWATEMBELEA?
Tena hao wazungu ni wa nchi zenye kukubali ndoa za jinsia moja
It is nonesense ulinganishe ziara za mkuu wa nchi na wapiga zomali
ccm chama cha matahira...
Wewe wasema uhuru wa mawazo lakini tutaheshimiana tu huko tunako enda....