Tofautisha ziara za kiserikali na za kichama.Raisi akisafiri anasafiri kiserikali si kichama.Ninachouliza ni ziara za kichama za CHADEMA mbona nyingi kwa wazungu tofauti na CCM?
Hata barabara ikijengwa huwa mnasema mmetekeleza ilani ya chama na huwa mnasema ccm inajenga nchi, huoni kuna uwezekano hata ziara za raisi ni utekelezaji wa ilani ya chama?