Mimi huwaga ananiudhi sana, na vile viscreen shot vyakeShukran kwa njia ya tuba mbadala maana angekuwa yule bingwa Fulani angeanza nitumie 20000 nitukumie formula hii ni kwa ajili ya kuendeshea ofisi na viscreen shot kibao vya kubumba
Tumvumilie njaa mbaya sanaMimi huwaga ananiudhi sana, na vile viscreen shot vyake
Mkuu mbona kama marinda ushayatoa huenda ndio sababu sio ugonjwaMziziMkavu yamenikuta mimi, naomba msaada wadau, sina amani na hili khaaanimepatwa na ugonjwa kwa mujibu moja ya post toka hapa jamiiforum unaitwa basili, hii ni baada ya kwenda hospital pale kairuki nakuambia hivyo...kuna nyama imetoka pembeni mwa haja kubwa hii nyama inanipa wakati mgumu sana..Naombeni msada wenu wadau nifanyeje ili kuondoa nyama hii...![]()
cc MziziMkavu
mshana jr
Inaonyesha unatembea sehemu zenye baridi pasipo na kuvaa kofia ya baridi ndio maana kichwa kinakuuma unapokuwa sehemu za baridi vaa kofia.na ujipake mafuta nazi kichwani.mimi niko na tatizo la kuumwa na kichwa hasa kuanzia saaa kumi jioni na baridi kali huku karibu na milima ya meru, ila nikiwa maeneo ya chini sehemu za joto kidopgo kutoka sehemu ambayo ninaishi kichwa kinaaachia, hakiumi nikipanda tena kinaanza. msaada plz
Vile vile tafuna au kunywa chai ya tangawizi mbichi itakusaidia kutibu hayo maradhi yako ya kichwa uguwa pole.Kitambo sana! Asante tabibu MzaziMkavu
Zamani nilidhani nguruwe ndo kiumbe mjinga kuliko kiumbe yyte yule,aisee nilikosea kumbe kuna kiumbe mjinga kuliko nguruwe!,hongera kwa kuvunja rekodi ya nguruweMkuu mbona kama marinda ushayatoa huenda ndio sababu sio ugonjwa
MziziMkavu yamenikuta mimi, naomba msaada wadau, sina amani na hili khaaanimepatwa na ugonjwa kwa mujibu moja ya post toka hapa jamiiforum unaitwa basili, hii ni baada ya kwenda hospital pale kairuki nakuambia hivyo...kuna nyama imetoka pembeni mwa haja kubwa hii nyama inanipa wakati mgumu sana..Naombeni msada wenu wadau nifanyeje ili kuondoa nyama hii...![]()
cc MziziMkavu
mshana jr
Duuu huo Unga wa kumun aswad na kamun sijui nini unapatikana wapi??TIBA YA MARADHI YA BAWASIRI
![]()
Kutibu Maradhi ya BAWASIRI (MGORO):
Haya ni maradhi ambayo humsibu mgonjwa sehemu ya haja kubwa ambayo humsababisha kupata maumivu.
DALILI ZAKE:
(1) Kupata choo kigumu.
(2) Kutokwa damu sehemu ya haja kubwa baada ya kujisaidia.
(3) Muwasho au maumivu na joto kali sehemu ya bawasiri.
(4) Kupata maumivu wakati unapokaa.
(5) Vidonda au kutokwa nje na kijinyama sehemu ya kutokea haja kubwa.
(6) Upungufu wa nguvu za kiume.
![]()
TIBA: Jambo la kwanza kabla ya tiba mgonjwa aweze kutibiwa maradhi ya kutopata choo vizuri ikiwa anayo kwa sababu huzidisha maradhi haya. Pia epuka kula Nyama hasa ya ngombe, Pilipili na vitu vikali. Hali kadhalika usinywe maziwa kwa wingi naUpendelee Kunywa Maji kwa wingi na matunda na mboga za majani kwa wingi
Kanuni ya kwanza: Kunywa juisi ya tikiti maji aka (Water Melon) asubuhi kabla ya kula chakula na usiku kabla ya kulala kwa muda wa siku 14 au siku 21Dawa hii hutibu na kuondoa maumivu ya bawasiri.
Kanuni ya pili: Chukua Asali safi ya Nyuki nusu lita , unga wa kamun aswad vijiko vitatu vikubwa,unga wa Habat soda vijiko vitatu vikubwa na unga wa kamun abiyadhi vijiko viwili vikubwa. Vitu vyote hivi vichanganye pamoja kwa kuvikoroga kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu kisha ukoroge ndani ya kikombe cha Maji ya moto. Yakishapoa uchuje halafu unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni Tumia dawa mpaka ipatekumalizika .
Kanuni ya tatu:
Ikiwa ni bawasiri ya kutoka nje au yenye vidonda, paka mafuta ya nyonyo aka Mafuta ya Mbarika (Castor Oil) kila siku asaubuhi na usiku unapolala kwa muda wa siku14 au siku 21.
![]()
Ukitumia hizo dawa na hujapona itakuwa unayo maradhi ya Bawasiri yanayo ambatana na Uchawi na mashetani aka pepo mchafu ndie anaye kuletea hayo maradhi, unitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
TIBA YA MARADHI YA BAWASIRItiba ya bawasiri ni ipi mkuu mzizi mkavu
Nenda kwenye maduka ya dawa za kisuna pale karibu na Soko kuu la Kariakoo mtaa wa pemba kaulize utapata hizo dawa.Duuu huo Unga wa kumun aswad na kamun sijui nini unapatikana wapi??
Mti wa Mkunazi kwa jina la Scientific ni (JujubeTree) haipo kiimani tu Mti wa Peponi na Mti wa duniani upo sehemu nyingi sana huu mti.Mkunazi unaitwaje scientific.naona hii ipo kiimani zaidi
Unapokwenda Sehemu za baridi jipake mafuta ya nazi usoni mpaka masikioni na uwe unakunywa chai ya tangawizi na uwe unavaa kilembe usiwe kichwa wazi sehemu zenye baridi kali.Baridi inaingia kichwani.mimi niko na tatizo la kuumwa na kichwa hasa kuanzia saaa kumi jioni na baridi kali huku karibu na milima ya meru, ila nikiwa maeneo ya chini sehemu za joto kidopgo kutoka sehemu ambayo ninaishi kichwa kinaaachia, hakiumi nikipanda tena kinaanza. msaada plz
Nenda Hospitali kapime unaweza kuwa na allergic diseases Maradhi ya Uzio Aleji.Mimi ninatatizo la kuwashwa na nikijikuna vinanitoka vipere tatizo lina wke sasa msaada tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimetingwa acha nikucheki kwa watsap,Nenda Hospitali kapime unaweza kuwa na allergic diseases Maradhi ya Uzio Aleji.
View attachment 554803