Mara yake ya kwanza kukwea pipa.

Hapo anashitakiwa kabisa....kuchelewa amechelewa yeye kwa nini anahatarisha usalama wa abiria wengine?
 
Hata mimi sijawahi kupanda pipa ila nadhani hapa inakaribia kutua maana naona "run way" kwa kuleeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…