Mara ya mwisho umetumia kondomu lini?

Mara ya mwisho umetumia kondomu lini?

Mimi nipo tofauti Sana mkuu,,

Kile kitendo cha kuvaa condom nahisi kama sifanyi sex,
I don't feel anything.

Ila nikiwa sijavaa ,,vile nikigusisha kichwa bila condom ni kama vile umeme umerudi "UWOOOOOOO"""

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Hahahah we mtoto msen nisamehe ila kwa kukutukana ila umenichekesha sana asee
 
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi mnajitoa ufahamu mnajichetua pombe zinawafanya mnajisahau sana ns madanga hao mnaowapata wanapenda kugawa rectum na wanaume tunaongoza kuogopa kwenda kupima wanawake wanapina sana kwenye uzazi wa mpango au kliniki huko ukimpeleka mtoto au ukishika mimba lazima upimwe.af cha ajabu wanaume hata ukiwaambia fulani anameza vidonge bado anajipeleka kwa huyohuyo karibuni kwetu kibo bar masasi.View attachment 2498161
Oyaa hapo masasi nlipita mwaka 2020 asee kuna vibe la kutosha saana
 
Haya mambo magumu sana , unakuta mtu anajichunga anakuja athirika kwenye ndoa, kaletewa na mwenza wake. Atajutia Sana uaminifu wake.
 
Mm nkitumia ndomu huwa simwagi kabisa mpaka mwanamke anakauka.

Bado nko natafuta brand nzuri ya condom ambayo nikivaa nitahisi kama vile nagonga kavu!!!

Hua nkitoka kugonga demu nawaza Sana sjui atashika mimba??

Kwa saiz nmeamua tu kununua malaya kwa sabab malaya hanaga mambo ya "baby sizioni sku zangu"
Hii huwa inanikuta nikitumiaga brand ya Rough Rider.

Natomba hadi saa nzima na bado sijakojoa manzi anajikaza chini kumekauka
 
Oya wazee,, wakati tukiendelea kukataa kondomu, tukumbuke kutafuta njia mbadala ya kuzuia mimba zisizotarajiwa. Hawa watoto ombaomba huku mtaan wanatia huzuni sana, na wengi wao sio yatima. Ni matokeo ya wanaume wenzetu walioongozwa na kichwa cha chini.
Well said buddy
 
Back
Top Bottom