Mara ya kwanza!...

Mara ya kwanza!...

Anthonio

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
202
Reaction score
21
Hivi, mara ya kwanza kabisa kufanya mapenzi wakati ukiwa umebalehe ulijisikiaje?.

NAWASILISHA..
 
Cjui ika nahc gbu unalo kama hujafanya anza xaxa na ndugu yako wowote ucku huu
 
kama ni me utashindwa hata kutembea
manake miguu itachoka halafu ukipita njian watu wote lazima watajua kwamba umezini
mwili wote utanuka na kwakua hujui pakuingiza basi utaingiza kwenye tundu la mkojo.
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa
 
Hivi, mara ya kwanza kabisa kufanya mapenzi wakati ukiwa umebalehe ulijisikiaje?.

NAWASILISHA..

Mimi sitaki hata kuikumbuka.Nilipata msichana tena kutoka kwenye nyumba za ibada nikajua nimepata mtulivu kumbe alikuwa amekubuhu, wakati tunajiandaa kufanya mambo kwa kuwa ilikuwa ni mara yangu ya kwanza hivyo machine ikawa haijasimama sawasa kwa sababu ya hofu si unajua mara ya kwanza yeye akawa wa kwanza kuniambia machine yako haijasimama sawasa hivyo tuendelee kuandaana. Pale pale nikaanza kukosa stimu maana kama hakuwa mzoefu alijuaje machine haijasimama vizuri.Siku zote hakuna mwanaume anayependa kuoa mke aliyekubuhu kimapenzi.
 
hivi, mara ya kwanza kabisa kufanya mapenzi wakati ukiwa umebalehe ulijisikiaje?.

Nawasilisha..

aissee wachaga kabisa iyo kitu ukiipata kwa mara ya kwanza inakuwaga tamu iyo kitu wachaga kabisa... Mimi nakumbuka zamani siku nilipoipataga iyo kitu kwa mara ya kwanza yaani yeleuuuwi wacha kabisa.. Nakuambia iyo kitu waaaacha...
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama ni me utashindwa hata kutembea
manake miguu itachoka halafu ukipita njian watu wote lazima watajua kwamba umezini
mwili wote utanuka na kwakua hujui pakuingiza basi utaingiza kwenye tundu la mkojo.

Kikwikkwikwikwi..kwakwakwakwakwa...mi napita tu.
 
Back
Top Bottom