Mara ya kwanza kwenda bafuni na wembe!!!

Mara ya kwanza kwenda bafuni na wembe!!!

Na wasiwasi na huyu mtoa mada,anaeza akawa asiwe kiumbe kama mie!hahahah lol,..napita mie
 
Watu waliochangia hii mada kweli ni great thinkers,nimependa ilivyobadilishwa. Mtoa mada grade yourself as per the comments. THINK BIG.
 
hivi liverpool ikishinda kesho bado kuna matumain ya chelsea kuwa mabingwa wakishinda mechi zilizobaki?
Roho imeumiaje?

Chelsea hawawezi kuwa bingwa tena pole mkuu kwa kuumia hi ndo game
 
mkuu bado unapumua , liverpool washaliza mtu tayari........

nipo kwa mashine ya kupumulia hapa madongokuinama.


mwaka wa kwanza
kupenda kwa mara ya kwanza
timu za ulaya badala ya za Mwanza!

bora kuipenda majimaji
presha tena siihitaji
sijekosa wa kunifariji!
 
Kabla hayajaota niliyatamani saana yalipoota nikafrahi saana badae nikaambiwa ni uchafu nilisikitika saana nilipoyakata mara ya kwanza nikiamini hayataota tena nilisita saana nilipoingia bafuni nilisitaa saana nikakumbuka sina Spirt nikaenda kununua Sipirt nilipomaliza kunyoaa nikapaka Sipirt Kilele kubwa ilisikika bafuni................................................... tangu siku hiyo sijwahi tumia spirt tena

wewe unakumbuka nini siku ya kwanza ulipoenda bafuni na Wembe

umesahau kuweka picha dada!
 
Kwan wewe na huo wembe wako unataka serikali mbili au tatu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom