Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Dibo10

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,331
Reaction score
1,636
Salaam Wakuu

Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Je unakumbuka siku ya kwanza kuwekwa lovebite na mwenza wako? IIitokea kwa makusudi au kwa bahati mbaya? Je ulitambua wewe mwenyewe binafsi kuwa umewekwa lovebite au kwa kuambiwa? [emoji23] [emoji23] Ulijisikiaje ulipojua una alama ya kung`atwa kihuba mwilini mwako? Je wapo wenye kufurahia lovebites au ni moja ya kero kwa wapendanao?
 
Huyo tena! Huyo anauma meno, kufinya na kuparura kwa makucha πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
hahaha mkuu nimecheka sana [emoji23] Ukhty kweli kiboko
 
Mimi nikajua lovebites ni wadudu wapya wamevumbuliwa wanaong'ata watu duuuuh.
πŸ˜±πŸ˜•πŸ˜‘πŸ™„πŸ˜΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…