ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Mkuu Kwa vyura tu,uko vzr[emoji3]Mala ya kwanza nataka nikutane na Miss Natafuta nimkague kuona kama chura ipo!
Ndumbula ndema(Moyo mjinga) mambo!,Mala????
Leo Nimekutana na member wa JF.
kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendelea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabariki. [emoji119] [emoji119] [emoji120]
Hongereni sana ila Mimi sitothubutu kuonana na member yeyote yule
OKππππpoa
Hongereni sana ila Mimi sitothubutu kuonana na member yeyote yule
Itabidi uwe mkalimani,maana sijui hilo neno la kiarabu sijui umekaa uarabuni?
Yaani wewe na chura nimekunyooshea mikono[emoji23][emoji23][emoji23]Mala ya kwanza nataka nikutane na Miss Natafuta nimkague kuona kama chura ipo!