Mara ya kwanza kufika Mwanza

Mara ya kwanza kufika Mwanza

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
640
Wakuu habari,

Nina safari ya Musoma kutokea Arusha kwa basi, nimepata basi la Mwanza hivyo itanibidi kulala Mwanza kisha niendele na safari siku ya pili.

Kwa kuwa ndio mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea huu ukanda nkaona niombe ABC za ninakoelekea kwa maana pa kushukia, mtaa wa kulala wenye malazi angalau kwa wananchi wa kipato cha kati n.k

Natanguliza shukrani.
 
kuwa muwazi mkuu wewe sema tu unaulizia machimbo ya madada poa.
 
Mwananchi mwenye kipato cha kati aanze kuulizia pa kulala?? Mwenye kipato cha kati anasafiri na akifika anachukua chumba lodge au hoteli
 
Back
Top Bottom