Mara ya kwanza kufika katika jiji la Seoul nchini Korea kusini nikapotea na kupotea

60b885c8bdd47ebd2793c87a245fc5ad.jpg
nilienda kufata biashara nchini korea kusini maana mizigo yangu huwa nachukuliaga japani sasa nikaona niende nchini korea kusini maana watu wanapasifu sana sasa NILIVYO tinga tu uwanja wa ndege balaaaa mara kajisogeza binti ananiongelesha ki gojoseon mtu nikakaa kimya baadae kidogo akatoa simu kumbe alikuwa anataka tupige nae picha.
Akaondoka sijakaa vizuri mtu mwingine tena akaja akafyotoa picha
2b2d58b8a2a32dd5ce05d81cd48c63d7.jpg
kuna mtu alikuwa anakuja kuniijia Airports sasa kumbe mtu amekuja akanikosa watu wakaendelea kufyotoa maserfie tuu yahatarii sahizi nimetoka kituo cha police maana nilipotea ikabidi wampigie simu yule mwenyeji wangu aje
7ce2de5431d308cae6020f57f86e7b9b.jpg
Mkuu upo Seoul sehem gani tuonane? Unapajua Anguk? NiPM basi
 
Yaani jamaa kapoteza mb zake za bure kisa ujinga acheni ujinga nyie njooni tule
8479bfa79b9da94234505839acc77d33.jpg
KIMCHI
 
Maui acha kuwadanganya watu humu JF huko korea wengine tushaishi hadithi zako peleka huko Facebook, hhgrrhgg ati ukapotea then unaweka picha za Mghana ambae kweli nimaarufu hapa korea.
우키는 TV
Ufungua hio link utamuona, acha kutafuta kiki za kijinga.
Ndio maana nilimuuliza kwenye picha alizo attach kwenye uzi yeye.

Uyo jamaa ni mghana na ni mtu maarufu sana korea na anaongea kikorea.
 
Huko wanafunzi wanasoma mpaka 4 usiku.elimu wameiweka kipaombele mno.kuna documentary niliiona walifanya student exchange.wanafunzi Wa Uk wakaenda huko wakaenda darasani siku ya kwanza walisinzia ( sec.school) kutoka halo kuna Tuition kuna mtaa maarufu wote ni Tuition tupu mpaka 6 usiku.wa Uk wakapeleka test zao ambazo wanazifanya mtihani Wa taifa Wa sec.unafanya sijui 2 hours saa sikumbuki vizuri.wao walimaliza for 15 minutes.na wakasema wao walijufunza primary darasa labda la 2.na teens wanaongoza kwa kujiua
Acha story
 
Acha kudhani wote ni mbulula humu ona sasa unaaibika. Tamthilia za mabeki tatu za kikorea zimekuharibu na wewe sasa unajiona mkorea eti unajiita Pyongyang. Upuuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom