Yaan mtu akiongelea hivyo natamani nijue kubet jamani ndio hivyo kichwa kizitoMwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?
Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.
Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.
Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.
Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.
Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.
Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
Mwana duh!

ThanksBora ulianza vizuri na ulikuwa na mentor mzuri. Mimi sjawahi kurudia kabisa.
Weka link ya huo uzi wa kufundishana kubet na mimi nimpige muhindiMwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?
Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.
Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.
Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.
Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.
Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.
Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
Ni hapa hapa jf. Kuna mtu alicomment kwenye uzi wa "wazee wa kuweka mizigo "(kubeti )Weka link ya huo uzi wa kufundishana kubet na mimi nimpige muhindi
mkuu naomba nielekeze plse.Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?
Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.
Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.
Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.
Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.
Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.
Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.
Mkuu mbinu gani hiyo ya kubet tufundushaneMwana duh!

Tupeane mbinu hiyo mkuuMwana duh!

Nipe formula hiyo mkuunlianza kwa matarajio ya kupata mamilion nlichokutana nacho siwezi kusema !!hadi raffiki yng aliponipa fomula ya kubet na kuwini leo naweza kujiita mm ni mtaalam wa kubet!!kila siku nabet na matarajio ya kukosa hua ni asilimia ndogo sana